mansuly
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 247
- 144
Kuna msichana mmoja nilimtongoza na kunikubalia akawa mpenzi wangu ila ikaja kutokea siku akaniambia kwamba hanipendi alikuwa aki ni enjoy tu, mwanaume nilikaza lakini wapi msichana kata kata na akaniambia nifute namba yake, basi ikabidi nimpotezee msichana lakini siku moja nashangaa ikaja kuingia SMS kwenye simu yangu "Halo naumwa mie" kuangalia kumbe ni yule msichana siku amini kabisa.
Hapa ndo napata wakati mgumu.
Hapa ndo napata wakati mgumu.