Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 19,470
- 25,395
Lile mask analolivaa sudi brown ukimvua kiutani utani au kikweli kweli unafungwa?
Aaah wapi..usanii tu ule..Uvaaji wake ule ndio unampa ugali hapa mjiniLile mask analolivaa sudi brown ukimvua kiutani utani au kikweli kweli unafungwa?
Sasa kwa nini mpaka leo waty hawajui sura yake?Aaah wapi..usanii tu ule..Uvaaji wake ule ndio unampa ugali hapa mjini
Mh kwa kweli sijajua kama wanaweza kumvua kiutaniutaniSasa kwa nini mpaka leo waty hawajui sura yake?
Si anautani na watu wengi kwa nini wasimvue hata kiutani utani?
Zile swaga tu ,haiusiani kabisa na suala la kupigwaSoudy brown anavaa mask kuepusha kupigwa na wengi hawamjui kwa sura hadi leo
Sura yake inajulikanaSasa kwa nini mpaka leo waty hawajui sura yake?
Si anautani na watu wengi kwa nini wasimvue hata kiutani utani?
Picha zake zipo kibao mkuu, na kuna thread mbili zilishajadiliwa humu na zote kuna picha zake,
Ila kuhusu swala la kumvua mask inasemekana jamaa amepitia mafunzo ya karate so kwenye kujilinda yupo vizuri ndomana watu anaowafanyia umbea wanaishia kumtukana tu na hakuna hata mmoja aliyethubutu kupigana naye, sio kwamba hawamjui sura, ila wanaogopa kung'olewa meno