msumeno
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 2,826
- 1,730
Nimefanya utafiti (sina data kwa sasa) mama na dada zetu wanaongoza kwa kuumiza watu hasa kimahusiano kuliko wanaume.
Wanaume wameendelea kuumia bila kupiga kelele kinyume na wanawake wao wakiiumizwa kidogo tu kelele kibao. Utafiti wangu umegundua pia kuwa mahusiano yakienda mrama mwanaume hufikiria sana mambo yote ya ndani atafikia raha zote alizo kuwa akipewa na huyo mhusika na atajenga picha ya raha anayoipata mwenza mpya wa mtalaka wake.
Kinyume na wanawake wao wakiumizwa wanafikiria tu '' nitaishije mimi, yaani kifupi hufikiria pochi zaidi! Yaani kiufupi zaidi mapenzi ya wanawake yako kwenye '' mfuko zaidi ilihali yale ya wanaume yako kwa ujumla wake.
Ni hayo tu