wadau ebu mnisaidie kidogo huyu mamzi simwelewi

maganjwa

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
2,800
2,337
Habar ya jpili! Natumai wazima wote.

Nina manzi ambaye ni mpenzi wangu wa mda mrefu tu mchepuko ila alikuwa na matatatizo ya mahusiano kabla sijampata alinisumbua sana alidai ana mchumba mim alitaka kujua kama nimeoa nikamwambia tu wala huwa sifichagi akajisikia vibaya na mim nikakazia ulitaka nikudanganye?

Akawa mkiya mkiya sana baada ya kuona anakuwa mbali nami nikampotezea akarudi kwa gia ya kunitafuta mara anipigie simu basi nikamwambia tena akakubali tukaingia kwenye mambo ile sana si unajua mwizi lazima uhakikishe anasimulia burudani alipewa burudani kweli kweli.

Sasa yule manzi nikajua kumbe jamaa yuko nje ya nchi ngare inambana anakosa mtu akawa na bemet sana na kunipa siri zake zote baadae nikamwambia umri unaenda vp zaa utapata matatizo huyu jamaa akanionyesha ni mtu mzima akanielewa akamwambia jamaa na jamaa akagoma baada ya kama miezi 6 jamaa akamwaga. ilimuuma sana ujue hapo ndo karudi kutoka nje.

mimi chakula kiko pale pale wakat huo niko mbali kidogo mimi nikamwambia tuzae basi maana ni mzuri sana ila umri umesogea yuko 30 kwa sasa akawa anasita sita. mwaka jana akampata jamaa mim nikamwambie endelea naye basi uhusiano ule ulidumu kama miezi 9 tu kosa likawa amepata mimba jamaa akagoma kuzaa naye mpaka akamlaximisha kutoa mimba wakatoa mimba baada ya kutoa jamaa akamletea mizengwe na kumtema tena

Mimi nikawa namwambia tuzae kwa sababu ananipa story zake kila kitu ila hapo anasita sana nikimpotezea huwa ananisumbua sana kwa sas tuko mbali mbali mikoa tofauti ila tunakutana kwa mwezi mara moja.

Mimi ninachoshindwa kuelewa anataka nini kwangu nilimwambia nikuoe kuwa mke wang wa pili tuanze maisha yuko sitaki nataka wanaume zake sasa ivi yule wa kwanza anataka warudiane eti anataka ushauri kwangu mimi nimegoma kumwambia ushauri wowote kwa sababu simwelewi

Hapo vp wadau aliyemwelewa huyu manzi atoe anataka nini kwangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom