Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,269
- 70,659
Unakuta mbaba mnene,,kitambi hichoo yaan mnene jamanii halaf anatongoza vibinti vidogo, we baba unavipeleka wapi hivyo vibinti,,,mfano hata mimi sipendi wababa /wakaka wanene ,,mtu tumbo hiloo,paja nene,halaf anakung'ang'ania eti anakupenda jamani jamani sipendi kuwa na mahusiano na wanaume wanene,wenye vitambii kwanza hawavutiii kabisaa,,
mwanaume aliejaa kawaida ndio anapendeza yaan amejaa kimazoezi au kajaa tu,,,sasa mbaba huyu na tumbo lake sijui hata kitandani mnalalaje,napatia picha utakavyolaliwa na hilo tumbo hapo utachoka nyang'anyang'nya,,,
Pia wapo nadhani wadada wanaopenda haoa wakaka au wababa wanene,maana nahisi ladha tunatofautiana,sie wengine tunapenda wakaka wa kawaida tu wenye miili ya mazoezi,kuna huyo mbaba huwa tunakutana sehemu ya kula jamani atatuma watu waniitee,,unajua saa ingine unene unaweza fanya uitwe mbaba,,
Akaniandikia kikaratasi kuwa ananipenda na anataka kuwa namii yaan niliudhikaa ,,,nikaanza kuwaza hivi huyuu mi nampeleka wapi sasa,,kwanza nahisi watu wanene kama hawa kitandani ni magoigoi tu na dudu yote imemezwa na tumbo,halaf kama hawakoromi hawaa ni bahatii aisee,,,
sie tushazoea watu hawana vitambi akikukamata ukitoka hapo hamu zote kwishaa. Mtanisamehe kama na humu wanene mpo inabidi mpungue jamanii unene ni janga mtakosa watoto wazurii wazurii
Kama una povu tema nna nguo chafu mie ntafulia
Ndio nishasema!!!!