Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,535
Habari,
Wanaume wamekuwa wakitumia nafasi ya kuwachezea wanawake kwa kigezo cha kutaka kuwaoa. Na kwa vile mwanamke ukiangalia umri wa kuwa na mume wa ndoa umefika au umepita.
Unajikuta unakubali kuwa na huyo mwanaume kisa kakutangazia NDOA mkiwa wenyewe tena chumbani kwamba nitakuoa, na kujikuta unamkubalia kila kitu.
Bila kujua huyu mwanaume yupo kwa ajili ya kuniumiza tu, siku ya siku ndo hawa wanasema nilikuwa napima oil tu. Jamani wanawake wenzangu kama umeandikiwa NDOA utaolewa tu hata na miaka 60.
Kwa mfano ukiamua kuwa na mwanaume kisa kakutangazia ndoa na kumruhusu kwa chochote. Fikiria utatembea na wanaume wangapi, maana hao wanaume wanambinu mbalimbali,
Anaweza akaja kwako na maneno matamu na wewe ukaamini huyu si ndo mume mtarajiwa na kujiachia kwake. Mwisho wa siku anakuacha na maumivu na majuto.
NB: Kama unakuwa na mwanaume kuwa nae tu, ila sio kwa kigezo cha yeye kukuoa. Tutaishia kudanganywa tu na kuachwa.
BADILIKA