Jaby'z
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 4,300
- 7,624
wakuu habari za muda huu..
ni miaka takribani minne tokea niumizwe na mapenzi,baada ya kuumizwa nilikua ni mtu ambaye siyapi thamani mapenzi maana nilikua natafuna na kusepa,kwa hii miaka minne nimedate na Girls wengi sana kati yao hakuna hata mmoja niliyempenda zaidi ya kumendea tunda tu na akishanipa nalala mbele...
kiukweli nilikua natamani sana niachane na hii tabia lakini kila nikiwaza yaliyonitokea nakua nachukulia mapenzi ni ngono tu
Sasa mwaka jana mwishoni kuna msichana nilitokea kumpenda {yale mapenzi ya kihisia kabisa wala haikua kingono},ilinichukua muda kidogo kumtongoza maana nilikua namtetemekea {nilijishangaa sana maana sio kawaida yangu}
Siku moja nikajitwika Jibapa moja halafu nikamuita sehemu ..Baada ya kumuambia ninavyojiskia sikutaka jibu lolote kutoka kwake...Baada ya muda kidogo mawasiliano yalizidi kuongezeka ikabidi nimkumbushie kuhusu lile suala..
The problem is she don't want to talk about it kabisa nikianzisha tu anazizima then anabadilisha story....
As the days went on nikaja kuhisi kua ana mtu ndio maana anasita kuniambia ukweli maana niliona text wanaitana "bae" nilikausha sikumuuliza kitu maana niko powerless kwake..
Juzi alipost picha fulani ikiwa na harsh tag yenye jina la mwanaume ikabidi nimuulize akanijibu "hili jina lina historia ndefu sana i will tell you next time"
nahisi kukata tamaa maana ndo mtu pekee ambae nimempenda tokea miaka minne iliyopita na nilishapanga naacha ujinga wote nikimpata natulia kabisa
sasa kwa hii reaction ni wazi kabisa mi sina changu inabidi nikubali tu kuumia halafu narudi kule kule nilikokuwepo.