me mtata
Member
- Feb 15, 2017
- 38
- 30
Habari wadau.
Hili swala najua tupo wengi lakini huwa siri yetu au na watu wetu wa karibu na si kwasababu tupo wengi ndio namaanisha nipo sahihi, hapana! Nataka kuwashirikisha na kupata maoni na ushauri wenu.
Kama nilivyosema nimeshaoa kitambo tu lakini mdudu wa ngono hajanitoka kichwani natamani wanawake kila dakika. Sasa linapokuja swala la nitoke na nani ndio najikuta kuangukia kwa wanaojiuza.
Sio kwamba sijui kutongoza au sipendi wanawake wa kawaida ila tatizo ni hili; nakumbuka madem wengi wa mtaani niliowahi kuwatongoza wana matatizo yanayofanana.
*Ukimgonga tu anaanza habari za kuitana baby na anataka usimuache japokuwa anajua una mke.
*Baada ya siku chache anataka umtimizie kila kitu ikiwemo kodi ya nyumba/chumba, chakula na matumizi mengine.
*Akikuona na dem mwingine kimenuka, Wivu!!
Lakini tukija upande wangu wa pili kwa wanawake wanaojiuza. Ukishamlipa mmemalizana, unamtafuta siku unapomuhitaji na hawana mambo ya kubanana wala wivu.
Kama una ushauri nipe lakini sio ushauri wa kuacha kutoka nje ya ndoa, naomba ushauri nifanyeje niwapate wanawake wa kitaa (sio machangudoa) bila kusumbuliwa kama nilivyoainisha hapo juu.
Asante