kigori wa kilwa
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 483
- 149
Habari zenu wanajamvini
nimekutana na issue hii hapa kuna kijana tunafanya naye kazi ofisi moja , jana alinipa mkasa wake kwenye ndoa yake ni kuwa yeye ameoa zaidi ya miaka 11 nyuma lakini kipindi hicho chote hana raha na ndoa yake wala mkewe na sababu ya kutokuwa na raha ni ndoa zile za mimba alimpa binti mimba basi akalazimishwa amuoe. Kutokana na hali hiyo ilimfanya muda mwingine atafute mchepuko nje ya ndoa na kwa bahati mbaya huwa anafumaniwaga na mkewe na kupelekewa kuachana na hiyo michepuko, kwa kauli yake jana alisema alishawahi kuwa na girlfriends kama wanne hivi tangu ameoa mpka sasa na wote alikuwa anawapenda Ila tatizo mkewe akijua tu huwa hao wanawake wanamuachaga mwenyewe ...story inakuja hapa kwa sasa ana mchepuko ambaye anampenda sana kiasi kwamba hawezi kumuacha na mkewe ameshamfuma kama mara nne zaidi Ila mwanaume amesema hawezi kumuacha kwa sababu akiwa na mchepuko anakuwa na amani ya maisha Ila akiwa na mkewe hana raha kabisa amejitaidi kujicontrol Ila ameshindwa ...... anaomba msaada aachane na mkewe abaki na barafu la moyo wake au aendelee na mkewe japo hana mapenzi naye ?????