Wasichana: Yaheshimuni maungo yenu

Pyepyepye

JF-Expert Member
Jan 6, 2017
1,940
3,829
Umevaa suruali imekubana na kuyachora maungo yako yote, halafu imechanwa chanwa mapajani kwa mbele, maungo yako yanaonekana na kila mtu.

Unakutana na rafiki yako anakuuliza kama umeolewa nawe bila haya unasema "niolewe na nani shost, wanaume wenyewe matapeli tu"

We unadhani kuna mwanaume mwehu mpenda laana, wa kukuoa wewe, uje kumletea laana kwenye ukoo wake, mwishowe aje azae watoto wehu.

Utabaki hivyo hivyo, ukija kushituka ushazeeka unaamua kujioa kwa kwenda kuishi na lishikaji tu (sio mume).

Hapo ndo unaishi kwa shida full vilio kwa kuwa na mume asiyeeleweka, wakati wewe mwenyewe ulishindwa kujenga misingi ya kueleweka.

Poleni wote mnaopitia vipindi hivyo hasa mkiwa ndio wasanifu na wajenzi hali hizo.
 
Upo sahihi mkuu,mimi nakumbuka enzi ninakua ilikua ngumu sana kuona maungo ya mwanamke sababu walikua wanajisitiri sana,na ikitokea siku kwa bahati mbaya umeona hata kirobo paja lazima abdala kichwa asimame yani,ndiyo lazima asimame mana hujazoea kuona hivyo vitu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom