Wanawake msaada hapa tafadhali

Pure Scientific

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
716
643
habari kuanzia sasa nimeamua nianze kufanya uchunguzi naombeni mnisaidie dada zangu hivi vitu gani unapenda awe navyo mwanaume ili uvutiwe nae nje na PESA

msaada tadadhali naomba mnitajie
bf7e4af2174287bb0ae84defd31a87a8.jpg
 
Nje ya pesa

1. Ucheshi
Sio unakua na mtu unashindwa hata kumtania bana mda wote serious tu

2. Ukarimu

3. Amjue Mungu

4. Awe na vision/mission

5. Smart
mi niko serious na kutafuta maisha hadi sura imebadilika kidogo, lakini nina maweee hapo vepee
 
m
Awe caring!
Yule mtu ambae nikiumwa au kuoata tatizo lolote atakuwepo kwa ajili yangu. Nikiwa na huzuni aelewe kua nina huzuni!
Awe mkweli kwako...do you understand that...Akikopa fedha kwa mtu au kwenye taasisi akuambie kweli, sio unashituka, vitu ndani vinasombwa na wadai!
 
Mimi binafsi sijui wadada wengine!
0. Mcha Mungu
1. Ajishughulishe... Asiwe tegemezi
2. Mcheshi
3. Awe anajali haswa kunijali mimi
4. Anajipenda/usafi na mtanashati
5. Awe na uhusiano mzuri na familia yake
Hapo kwenye #2 ,

Hapo ndipo wanaume wengi hukaribisha dharau ndogo ndogo hatimae kudharaulika kabisa,

Wanaume wenzangu ukitaka upendwe na wadada wewe kuwa serious na maisha au kazi yako, jipende, mjue mungu (sali), wachukulie wanawake kama kitu cha kawaida, kuwa mstaarabu na mkarimu.

Watakusumbua mpaka ukome,
Wataanza kidogo kidogo kukuchimbua kiundani mala ooh kwenu wapi, wazazi wako wanaishi wapi, una girlfriend , ukimwambia huna anakuuliza ulishawahi kuingia katika mahusiano, mala ooh unapenda mkeo awejee ..........

Yaani imekuwa kero mpaka basiii,
Aaaaaaaaagrrrhhhhh .
 
Heshima

Kujali

Kuthamini

Kutuliza kidudu

Hofu ya Mungu

Mtafutaji

Full upendo

Asiwe na mkono wa birika

Msafi



Nitarudi kumlizia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom