natafuta mchumba ili baadae aje kua mama wa familia yangu umri miaka 18-40,awe mcha Mungu.mwonekano awe mrefu kiasi na asiwe mnene sana.Awe anatokea kusini Aliye tayari anitumie ujumbe...
Hii dunia si pepo kusema utaishi kwa raha siku zote na hii dunia si moto kusema kila siku utakuwa mwenye tabu tu kwenye mahusiano, kubwa kinachotakikana ni subra na uvumilivu wa hali ya juu...
Nina mpenzi wangu wote tunasoma A level ana miaka 19, tuna date sasa mwaka wa 3 tulikubaliana tusisex hadi itutakapokuwa tayari, tunapendana na tuna mipango mingi future. Jana wakati tuna chat...
Habari zenu waungwana,
Mwenzenu kuna msichana nilizaa naye ila sikutegemea yaani bahati mbaya ni mzuri but ana vidharaudharau ingawa mimi ananionesha kwa mbali.
Kwanza wakati mjamzito...
Habarini za mwanzo wa wiki wana jamvi,
Kuna mwanamke nimekuwa nae kwenye mahusiano ya kimapenzi zaidi ya mwaka mmoja sasa ila ilipofikia mwezi wa pili mwaka huu siku ya valentine day alipigia...
Habari Wakuu,npo arusha kwa mda napenda kampan ya mda na mdada alie single mrefu,mwembamba kiasi au mnene wa shape na asiwe na kitambi kikubwa tuwasiliane pm kwa ajili ya kugawana riziki
Natumaini hamjambo
Leo nimeona tushirikiashane kuhusu tabia za hawa viumbe vya aina mbili
1. wanawake warefu
2. wanawake weupe
ndugu zangu hawa watu ni wana dharauuu sijapata kuona. SIjui...
Ikiwa wewe mwanamke au mwanaume inatokea umempenda rafiki wa mpenzi wako yani hisia zote ziko kwake na huyo mpenzi wako huna hisia nae kabisa,utafanyaje?
Mambo unayo kutanayo katika mahusiano unaweza ishia kuwa kicheche tu na kuwavua nguo hawa dada zetu nakusepa wengi wao hawapo kiwife material , maisha yao katika mahusiano ni ya kitamthilia zaidi...
Duh! huyu mwanamke simuelewi kabisaaa, yaani kiukwel sijui kama anamapenz ya dhati kwangu au ana pretend.
Nimwanamke ambaye tumeahidiana kuoana na pia ikitokea nimempelekea zawadi na yeye...
Habari za jioni wana MMU,
Kuna jambo nimekuwa nikilifikiria sana lakini bado sijalipatia jawabu ni kuhusu hili jukwaa la love connect. Kwa wale waliotafuta wenza huko naombeni kujua kama...
Wasalaam..
Rafiki angu alikuwa na uhusiano na Binti fulani wa Kingoni.. Wakiwa katika uhusiomano Binti alipata ujauzito baada ya mwezi kupita hakuona siku zake akamwambia mwanaume wake .. Mwanaume...
Am a man turning 24years old later in this year. I am still a student at a certain institute here in Tanzania. And I think it is the right time for me to find the right woman to whom, I shall...
Wanaume wamelazimika kuwa waongo kwasababu ni hitaji la wanawake wengi, (uongo) ukitaka ujuwe wanawake wengi hawapendi ukweli. Ukiwa mkweli ni ngumu kumpata mtoto wa kike, maana wengi wanachotaka...
Nimeoa muda si mrefu binti wa kitanga.
Toka tupo kwenye uchumba alikuwa na tabia ya kulia kwa sauti wakati wa tendo la ndoa. Nilikaa naye nikamwambia hii tabia ya kulia wakati wa tendo siyo nzuri...
Enyi Masista du wa Karne ya 21 hasa wa awamu ya serikali ya Magufuli ambaye ameapa kuwa kufikia July 30 hakuna mtu atakeishi DSM bila kazi ya kueleweka na hili limeshaanza kujiidhirisha.
baadhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.