Hii thread ilishawahi kuletwa June 2014 na bwana Blessing mimi binafsi imenifurahisha sana nikaona ni vyema niilete tena ambao hamjabahtika kuiona mpate japo kitu cha kujifunza
kijana Blessing...
Hii sasa ni kwa wanawake. Hivi mnajua mwanaume anayekutaka kimapenzi au anayekutamani jinsi anavyouangalia mwili wako anawasilisha hisia zake juu yako.
Je unawezaje kujua ujumbe anaokupa...
Habarini wapendwa,leo naomba niongee na single mom najua wengi hawakupenda hiyo hali but ndo ishakua hivo,jaman wapendwa mwanaume kukuzalisha halafu akawa na mwingine ina maana hajakupenda kwa...
Kukosolewa ni muhimu ili kuepusha makosa maishani, kurekebisha mambo na kuleta faida fulani (constructive critism).
Lakini kuna ile kumsema mtu vibaya bila sababu ya msingi ili mradi tu kumshusha...
Hellows,hii tabia nimeiona sana kwa wanawake wezangu unakuta ana mtoto lakini akikutana na mwanaume mwingine na wakitaka kuanzisha mahusiano amwambii ukweli kuhusu mwanae wengine hudiriki hata...
habari wana mmu.
bila kupoteza muda naenda direct kwenye mada. x
jamani sisi wanaume muda mwingine ni kama tunamatatizo. hivi kwanini gunapenda kujiaminisha kuwa kila mwanamke anapenda pesa?mimi...
Leo nmemtembelea manzi mmoja kwake (huwa tunasaidiana tukizidiwa na genye) nkakuta kuna vyupi kaning'iniza kitandani ila siyo ambazo nmezoea kumuona nazo akija kuntembelea ghetto, nlizo ziona...
Hatimaye Shirika la Afya la Dunia lapitisha kwamba kuwa single ni tatizo la kiulemavu kwa hiyo wale ambao tuko single tujiandae sasa .
Nawasilisha ingawaje hapo wameandika kikrito ila ndio hivyo...
Nijuavyo ni kwamba panapokuwa na huduma muhimu inayotolewa kwa Binadamu yoyote basi kiustaarabu tu na kwa kudumisha pia mila zetu za Kiafrika tulizoachiwa na Mababu na Mabibi zetu tunapashwa...
Hili jambo limekuwa likinishangaza na kunistaajabisha, maana kwa nguvu aliyokuwa nayo mtoto wa kike mara nyingi akimwitaji kidume ni rahisi sana kumpata, kuliko kidume kikimtaka mtoto wa kike...
Kwa utafiti nilioufanya wanaume warefu weupe wanajisikia sana tena wanajiona wao ndo wazuri na si ajabu mwanaume mrefu mweupe akajisifia kuwa yeye ni mzuri wakati uzuri wa mwanaume ni pesaa na...
Naitwa Ahmed
Naish Dar es salaam Gongo la mboto
Umri miaka 24 Kabila Mndengereko
Natafuta Mchumba ili awe mke wangu
Nipo serious na sio masihala
Umri awe 18_23
Mawasiliano 0719 608563
Hii ni terminology mpya au niaje? Unakuta una manzi wako mnapendana full malove, na manzi wako naye ana mdogo wake wa kike au dada ake dotcom, sista duu etc. Then unakuta dada mtu full uchangamfu...
Wakuu poleni na majukumu ya kila siku, nina mpenzi wangu tuliachana naye kwa kwa muda wa mwezi mmoja kisa aliniambia sex mpaka ndoa basi bwana mimi nikasema isiwe kesi nakamkaushia mazima...
Wanaumeee!!! Kama kawa kama dawa Brigedia wenu mpelelezi A.K.A mtetezi wa kambi ya kiumeni
ninaendelea kutekeleza majukumu yangu ya kuhakikisha Majita wote wanaishi kwa kuserereka bila kukwama...
Habari wanaJf...naamini nitapata mawazo mazuri maana hapa ni sehemu ya uhakika ya kutatua matatizo..
Hivi ukimtongonza msichana akakupiga kibuti (kukukataa)..je kuna haja kuendelea kuwasiliana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.