Mahusiano/ uchumba

rootsquare

Member
Sep 30, 2016
30
48
Mambo unayo kutanayo katika mahusiano unaweza ishia kuwa kicheche tu na kuwavua nguo hawa dada zetu nakusepa wengi wao hawapo kiwife material , maisha yao katika mahusiano ni ya kitamthilia zaidi kuliko uhalisia.
Hakuna mpango endelevu na hata ukimfanyia anayo yatamani bado mjue mpo watatu au wawili.
Ni hivi siku moja nilienda angalia football mimi na rafiki yangu wa siku nyingi katika hoteli fulani nikiwa nimekaa pale na jamaa akatokea dada mmoja mrembo wa wastani akajoini nasi maana alikuwa anajuana na rafiki yangu story za hapa na pale mara mzee wenger, morinho enzi za zidane nakazalika huku tunakunywa vinywaji na kuangalia mpira basi bahati nzuri mimi dada wote ni washabiki wa team moja na baadaye hata anieleza kuwa anfanya biashara fulani akanipa number ili nikiwa nahitaji nimuungishe , huku na kule baada Muda tukawa wapenzia na akanimbia hana mtu nikaona nimepata mtu wakutengeza maisha .
Sasa kazi ilianza pale nilipo mueleza rafiki yangu kuwa nina uhisiano na yule dada ,jamaa alipo kutana naye akamuita shemeji demu akaruka akasema shemeji yako kwa nani akasema si kwafulani demu akamtolea jamaa nnje kama hana mahusiano na mimi. Siku moja nilienda mtembelea jamaa angu tena basi jamaa akaazna kunipaka kuwa mie najizushia mambo basi nikamwambia subiri nikatoa simu nikampigia yule manzi nikaweka loud speaker tukaongea mambo ya kikubwa jamaa akisikiliza na tuakambushia migegedo yetu jamaa akaamini kuwa mie sie muongo ila demu ndio kicheche ila tukasema tusimuhukumu kwahilo huenda ameona mapema mno kuliweka wazi.
Sasa siku moja jamaa yangu akiwa amekaa na yule dada gafla akaanza kuongea habari za jamaa yake ila kila anacho ongea juu ya jamaa yake character za jamaa hazifanani na mie jamaa akaona hapa anazungumzia mtu mwingine kabisa na sie mie rafiki ya ke kipenzi
Basi jamaa akanitwangia simu akanieleza yote akanimbia tu niwe makini kila nikikutana na huyu demu nitumie kinga na kwa vile sina demu mwingine basi nisimteme niwe na. Punguzia ukakasi mpaka nitakapo pata demu wa mwingine wa uhakika ikawa hivyo nikijisikia na mwita anakujaa alikuwa hana shida nikimwitaji .
Baada muda tukapeleza tukajua kuwa kweli anajaa yake ambaye wanamahisiano kweli na ndio aliyempangia sehemu ya kujihifadhi na anamsomesha masters nikasikia uchungu sana kwa kumuonea huruma mshikaji maana kawekeza nguvu nyingi kwa huya dada .
Tukapanga na mshikaji wangu tuvizie yule jamaa akiwepo tuende mimi na yeye pale kwa dada maana jamaa anafanya kazi mkoani. Basi sikukuu moja hivi ikiunganika na weekend ikawa imefika jamaa akaja tukapata habari basi tuakenda kweli tuakamkuta jamaa na demu basi rafiki yangu akanitambulisha kwa jamaa kuwa huyu ndiye shemeji yetu kwa yule dada na kamtambulisha mshakaji kuwa huyu ni rafiki yangu kipenzi toka chekechea mpaka chuo kikuu kozi moja hadi mtaani tupo pamoja cha ajabu dada sura kavu kama hanijua vile , basi kumbe hata ndugu zake wanamjua kuwa yule ndie shemeji yao , basi mie nikatoka nnje kuongea na simu jamaa yangu akazuga tumekuja kuomba move tukaangalie tusogeze muda .
Baada ya siku moja dada acha anitafute anamtumia rafiki yangu kuomba msamaha turudiane huku akisema yule jamaa wapo naye tu ila hana mpango wa ndoa naye ila mie ndio chaguo lake nikaza kama miezi mitatu au minne akata tamaa na kunisahau hapo ndio mwisho wa story ya huyo muda.
Mwingine kiufupi yeye mlokele aninganya kuwa yeye ni bikira hajawahi kufanya hiyo kitu na kwa kipinde kile alikuwa single basi nikawa mvumilivu siku akaingia ndani ya kumi nane duh kumbe hakuna bikira akaanza kujihami oooh maishani mwangu nimfanya mara mbili tuu full maigizo mengi siku nikashika simu yake nikakuta kamsave mtu husband nikajua kuwa ndie mie ila kubeep simu yangu duh hata kuseviwa kwenye phone book haipo nikaona hili janga sasa ikabidi nijiongeze mwenyewe nisepe
Akaja watatu mh huyo majanga yake ni mengi kuliko maeleza ila namshukuru Mungu nilienda kupima nikakuta mzima . In short katika kutafuta mtu wa kuishi naye nimegundua biashara ya mapenzi ni kubwa mno ila staili ya kujiuza ndio inabidi akili yako ifanya kazi kugundua kuwa hapa ninanua mahusiano utakuta wengine invoice inatolewa before , wengine katikati ya safari wengine mwisho wa safari
 
Nitajitahidi ku-summarise.
Tutumie mistari ya Bibilia kwenye somo la leo Mathayo 19:4, " Kwa sababu hiyo, mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe; na hao wawili watakuwa mwili mmoja" (mstari huu pia unapatikana Mwanzo 2:24)

Huu mstari unaongelea msingi mkubwa sana wa kuanza kwa ndoa/maisha ya ndoa. Unaongelea milango mitatu.

1. Kumuacha baba na mama - hapa anaongelea maturity ya akili (sio umri pekee). Uwezo wa wewe kujitegemea na kutunza mtu.

2. Ataambatana na mkewe - hapa anaongelea kuhalalisha ndoa - iwe serikalini ama kanisani. In as much as kuishi pamoja ni maamuzi yenu wawili, lakini ni suala la kisheria pia. Hivyo ni muhimu kutimiza agizo hili, la kisheria na kupata baraka kwa Mungu (kanisani - ili lile neno la alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe litimie)

3. Kuwa mwili mmoja - hapa ni tendo lenyewe!!!

Tatizo letu ni kutaka kuanza na namba tatu kisha tuje kumalizia na mbili na moja inakuwa mwishoni.

Amin amin nawaambia, kama tutaendelea kuanzisha mahusiano yetu kwa kupitia mlango namba tatu, mahusiano hayo hayatodumu. Tutaendelea kuishia kutupiana lawama kila siku.

Natamani kusema mengi, ila mdomoni nina maji!!! [HASHTAG]#adios[/HASHTAG]
 
Ahsante Mchungaji nimeona hatari ya kufa kwa hii dhambi hivyo nimeamua kutulia kwanza kabla ya kuanzisha mahusiano mapya mpaka nimjue vizuri
 
Bora umepata somo basi ukipata wakukupenda, pendeka na ujue thamani yake. Wengine mkipendwa bichwa linavimbaa mnajisahau ukija kukumbuka ushapoteza bahati.

Inshort kati ya hao wote hakuna ambae anakupenda walikutamani tu. Mwanamke akipenda amependa, endelea kutafuta.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom