AsanteeeKwanza lazima uondoe dhana kuwa kila anayekuangalia usoni anakuangalia wewe mpaka ndani.
Watu wengi wenye aibu hudhani mtu anapomwangalia huwa anamwangalia mpaka ndani ya moyo wake, kumbe wengi wa wanaoangalia watu nao wana stress zao tu, na kwa kuwa macho yaliwekwa kwa mbele ya kichwa hakuna namna ya kuangalia kwingine, isipokuwa kwa yule aliye mbele yako.
Pili jenga kiburi kidogo ndani yako kuwa I AM BETTER THAN THEM.
Hii huwasaidia sana watu wanaoanza kuzungumza mbele za watu na wanakuwa hawajiamini amini.
Na mwanamke awaze vipi?Wakati unaongea jiulize "HUYU JAMAA SI ANAWEZA KUNICHUKULIA MI MWANAMKE JINSI NAVYOMUONEA AIBU"
Cha arusha ndio mwisho wa matatizoWadau nawezaje kujitoa na tabia ya aibu kwa watu yani kujieleza kwa watu au kuongea na watu ni aibuuu...naomba msaada........
Duh mwiko au ndala haikuhusika kwel?Mimi nilikuwa naongea na shangazi yangu, huku namuangalia machoni. Mara namsikia wewe mtoto hata aibu huoni kuongea na mimi huku unaniangalia usoni. Nikamwambia kama naangalia movie hivi unataka niwe naangalia DVD? Au screen yenyewe?
Mleta uzi jinsia gani wewe?
Ndukiiiii
Mm ni mwanaumeMimi nilikuwa naongea na shangazi yangu, huku namuangalia machoni. Mara namsikia wewe mtoto hata aibu huoni kuongea na mimi huku unaniangalia usoni. Nikamwambia kama naangalia movie hivi unataka niwe naangalia DVD? Au screen yenyewe?
Mleta uzi jinsia gani wewe?
Ndukiiiii