Najuta kumfahamu huyu mwanamke

chokodari

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
1,335
1,142
Habari zenu waungwana,

Mwenzenu kuna msichana nilizaa naye ila sikutegemea yaani bahati mbaya ni mzuri but ana vidharaudharau ingawa mimi ananionesha kwa mbali.

Kwanza wakati mjamzito nilimlazimu atoe coz familia yake ni moto akakubali kutoa kumbe ananitega ikafika siku nataka twende akatoe akaniambia hayupo home kwao ametoka kidogo kumbe alikuwa anafanya mpango wa kusafiri akakimbilia kwa dada yake Mbeya akakaa mpaka akajifungua.

Mara akanipigia simu amejifungua nikabaki nakigugumizi ok akaja mpaka home wazazi wangu wakamuona mtoto but mimi kuna msichana nilikuwa nampenda ingawa sijawahi kumtamkia. Ananipenda sana na alivyosikia hivyo alisema nimesingiziwa mtoto.

Sasa huyu niliyezaa naye kiburi kingi nataka kumbwaga but kila nikipata msichana mwingine tunamwagana tena mbaya zaidi hao wasichana huwa wanajilengesha kabisa.

Mfano kuna mmoja alinitamkia ananipenda mbele ya ndugu zake basi ndugu zake wakamsafirisha hivyo hivyo mwingine aliniambia wewe kaka nakupenda alikuwa ndugu ya rafiki yangu, sasa kuna msichana akatuona tunaongea akamwambia huyo ana UKIMWI yaani mimi msichana akahama mkoa yaani kwa kifupi kila msichana tunayependana kesho yake ananigeuka mpaka nimehisi huyu msichana niliyezaa naye mchawi coz mauzauza tu ni mengi.
 
Uwa nawadharau sana watu wanaoshauli wenzao watoe mimba kutoa mimba ya kwanza ni maandalizi ya kupata mimba nyingine utatoa ngapi mpaka uje uolewe/uoe nashindwa ata kukushauli maana maana inaonekana unamajibu yako tayali
 
huyo dada mpeleke masomoni nje ya nchi miaka mitano, akirudi anakuta ushaoa katoto kengine kazuri na kamezaa
 
habari zenu waungwana mwenzenu kuna demu nilizaa naye ila sikutegemea yaan bahati mbaya ni mzuri but anavidharaudharau ingawa mim ananionesha kwa mbalii kwanza wakati mjamzito nilimlazimu atoe coz familia yake ni moto akakubari kutoa kumbe ananitega ikafika siku nataka twende akatoe akaniambia hayupo home kwao ametoka kidogo kumbe alikuwa anafanyaa mpango wa kusafiri akakimbilia kwa dada yake mbeya akakaa mbaka akajifungua mara akanipigia cm amejifungua nikabaki nakigugumizi ok akaja mbaka home wazazi wangu wakamuona mtoto but me kuna demu nilikuwa nampenda ingawa sijawahi kumtamkia ananipenda sana na alivyosikia hivyo alisema nimesingiziwa mtoto sasa huyu niliyezaa naye kiburi kingi nataka kumbwaga but kila nikipata demu mwingine tunamwagana tena mbaya zaidi hao mademu huwa wanajilengesha kabisa mfano kunammoja alinitamkia ananipenda mbele ya ndugu zake basi ndugu zake wakamsafirisha hivyo hivyo mwingine aliniambia we kaka nakupenda alikuwa ndugu ya rafiki yangu sasa kuna demu akatuona tunaongea akamwambia huyo ana ukimwi yaani mimi demu akahama mkoa yaani kwa kifupi kila demu tunayependana kesho yake ananigeuka mbaka nimehisi huyu demu niliyezaa naye mchawi coz mauzauza tu ni mengi

Dah !
Yaani hakuna vituo, koma wala ndg zake. Kama mtoto wa darasa la kwanza :)

Hivi nyie ndo mnategemewa kuendeleza TZ ya viwanda au vi wonder ?
 
Habari zenu waungwana
Mwenzenu kuna demu nilizaa naye ila sikutegemea yaan bahati mbaya ni mzuri but ana vidharaudharau ingawa mim ananionesha kwa mbalii

Kwanza wakati mjamzito nilimlazimu atoe coz familia yake ni moto akakubali kutoa kumbe ananitega ikafika siku nataka twende akatoe akaniambia hayupo home kwao ametoka kidogo kumbe alikuwa anafanyaa mpango wa kusafiri akakimbilia kwa dada yake mbeya akakaa mPaka akajifungua

Mara akanipigia cm amejifungua nikabaki nakigugumizi ok akaja mpaka home wazazi wangu wakamuona mtoto but mimi kuna demu nilikuwa nampenda ingawa sijawahi kumtamkia. Ananipenda sana na alivyosikia hivyo alisema nimesingiziwa mtoto

Sasa huyu niliyezaa naye kiburi kingi nataka kumbwaga but kila nikipata demu mwingine tunamwagana tena mbaya zaidi hao mademu huwa wanajilengesha kabisa

Mfano kuna mmoja alinitamkia ananipenda mbele ya ndugu zake basi ndugu zake wakamsafirisha hivyo hivyo mwingine aliniambia we kaka nakupenda alikuwa ndugu ya rafiki yangu sasa kuna demu akatuona tunaongea akamwambia huyo ana ukimwi yaani mimi demu akahama mkoa yaani kwa kifupi kila demu tunayependana kesho yake ananigeuka mpaka nimehisi huyu demu niliyezaa naye mchawi coz mauzauza tu ni mengi
Bahati mbaya hukutegemea kwani mimba iliingilia sikioni?
 
Ana haki ya kukuloga aisee!!! Kwanini umlazimishe binti wa watu kutoa mimba?
Jamani!!! Mimi hua nawaambia kaka zangu!!! Usigegede kavu mwanamke ambae hauko tayari kuzaa nae au kuoa!!! Yaani ukishazaa na mwanamke huwezi mbwaga!!! Utamnyima ngono ndio ila uhusiano wa baba na mama utabaki palepale!!!
 
We dogo uwe unaweka vituo hizi tungo zako.
Yaani nimesoma huo upupu wako mpaka pumzi zimenijaa!.
 
Hahahaha!!! Eti choko!!!
Ila anatia hasira huyu!!!
Eee si anajiita choko nani sijui ...hahahah
Yani anatia hasira kweli kweli manake kwa mujibu wa story yake mwanamke ndio anatakiwa kujuta kumfahamu yeye
 
wewe fala tu yaani umzalishe tu umwage? wewe ukimwagwa unaona shida na utakimbiwa mpaka na mende.
wacha ulogwe tu
ulivokuwa unampa mimba ulifikiria nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom