apprentice1997
Senior Member
- Jun 8, 2016
- 107
- 99
Nina mpenzi wangu wote tunasoma A level ana miaka 19, tuna date sasa mwaka wa 3 tulikubaliana tusisex hadi itutakapokuwa tayari, tunapendana na tuna mipango mingi future. Jana wakati tuna chat alinambia kuwa mwezi wa 12 alipokuwa likizo alibakwa na mpangaji anayekaa nyumba moja na Dada yake na kumsababishia apoteze usichana wake.
Mwanzoni nilipaniki nikidhani labda alinicheat ila baada ya kuniambia vizuri ninamuonea huruma sana kwa sababu nina muamini yeye ni mcha Mungu sana na alikuwa anatunza usichana wake sababu ana hofu ya Mungu na hakupenda kumpa zawadi ya usichana wake mtu ambaye amembaka.
Bahati mbaya hakureport hilo tukio kokote Jana ndio akaamua aniambie mimi ukweli. Nimejaribu kumbembeleza asahau yote nimeshindwa na ninaumia kwa kuwa ni mtu ninayempenda sana na mwezi wa 5 anatakiwa afanye mtihani wa form six.
Please naombeni ushauri nimsaidie vipi kwa kuwa hata familia yake haijui chochote ameamua kuniambia mimi ili angalau moyo wake utulie.