Ikitokea umempenda mpenzi wa rafiki yako utafanyaje?

ulikubali vipi kuwa na mtu usiyenpenda. Na huyo unayemtamani unadhani atakuwa tayari kuwa na wewe? Kwa mwenye akili nzuri ataona wewe huaminiki. Boresha uhusiano na uliyenae. Kumbuka kizuri ni kile usichonacho.

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
utafanya nini cha ziada wakati unajua kuwa huyo ni mpenzi wa rafiki yako.. hakuna jinsi zaidi ya kukemea huyo pepo mchafu anaekunyemelea.
 
Back
Top Bottom