Wadada mkitaka fedha mzifuate 'physically'

DIKASHWA

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
378
962
Enyi Masista du wa Karne ya 21 hasa wa awamu ya serikali ya Magufuli ambaye ameapa kuwa kufikia July 30 hakuna mtu atakeishi DSM bila kazi ya kueleweka na hili limeshaanza kujiidhirisha.
baadhi ya Wadada bado hawajaelewa hii Kauli ya raisi na itawacost. Imagine na ukata huu mwanamke anakuomba ela tena sio kuja ghetto physically kuchukua anataka umtumie kwenye MPESA, swali je?
Kauli ya hapa kazi tu mmeilewa. Na rais alisema hakuna pesa ya bure, ukitaka pesa piga kazi. Hakuna pesa itakayokukuta umekaaa,
Hesabu ziko hvi; mfanyabiashara hasipofungua duka kwa siku hutauza bila kuuza hatapata pesa,
mwajiriwa hujaenda ofisini mwisho wa mwezi husitegemee mshahara; mkulima hujalima husitegemee kuvuna husipovuna hutapata Mazao ya kuuza
Na nyie wadada ombaomba kupitia MPESA hizi taarifa ziwafikie ukitaka pesa nenda kwa danga physically ifanyie kazi hyo pesa ugongwe akiridhika utapewe pesa achana na mambo ya kupenda vya bure there is no free lunch maisha yamekuwa magumu sana jamani kila mtu lazima afanye kazi
 
Solution rahisi ipo kwako wewe mtumaji
Akikuomba usitume. . .akiwa na uhitaji mkubwa wa hiyo pesa ataifuata
ukimwambia aje kuchukua analeta visingizio visivyokuwa na mbele wala nyuma. Kisa anataka kukwepa kufanyia kazi hyo pesa
 
Madomo zege wanaongozaga kwa threads za malalamiko kama hizi. Umechunwa weeee umechoka kumwambia umeshindwa unakuja kusingizia agizo la jpm,kamwambie laivu laivu uone kama hujatoa hadi ATM card na password zake

Mwanaume wa kweli hachunwi ovyo bila kupata kile akitakacho ila nyie wavulana maskini zinawatoka kweli hizo hela mlizopewa za matumizi ya wiki nzima.
 
Aliekuambia utongoze wanyonya damu nani?
Enyi Masista du wa Karne ya 21 hasa wa awamu ya serikali ya Magufuli ambaye ameapa kuwa kufikia July 30 hakuna mtu atakeishi DSM bila kazi ya kueleweka na hili limeshaanza kujiidhirisha.
baadhi ya Wadada bado hawajaelewa hii Kauli ya raisi na itawacost. Imagine na ukata huu mwanamke anakuomba ela tena sio kuja ghetto physically kuchukua anataka umtumie kwenye MPESA, swali je?
Kauli ya hapa kazi tu mmeilewa. Na rais alisema hakuna pesa ya bure, ukitaka pesa piga kazi. Hakuna pesa itakayokukuta umekaaa,
Hesabu ziko hvi; mfanyabiashara hasipofungua duka kwa siku hutauza bila kuuza hatapata pesa,
mwajiriwa hujaenda ofisini mwisho wa mwezi husitegemee mshahara; mkulima hujalima husitegemee kuvuna husipovuna hutapata Mazao ya kuuza
Na nyie wadada ombaomba kupitia MPESA hizi taarifa ziwafikie ukitaka pesa nenda kwa danga physically ifanyie kazi hyo pesa ugongwe akiridhika utapewe pesa achana na mambo ya kupenda vya bure there is no free lunch maisha yamekuwa magumu sana jamani kila mtu lazima afanye kazi
 
ha ha ha, mkuu huyo dada ukimtia mikononi ataimba nyimbo zote za kampeni 2020 za CCM
 
Back
Top Bottom