Wanawake warefu na weupe punguzeni dharau

Wanawake warefu na weupe punguzeni dharau

steve_shemej

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2015
Posts
1,191
Reaction score
1,630
Natumaini hamjambo
Leo nimeona tushirikiashane kuhusu tabia za hawa viumbe vya aina mbili
1. wanawake warefu
2. wanawake weupe

ndugu zangu hawa watu ni wana dharauuu sijapata kuona. SIjui inatokana na nini mpaka wanakuwa hivi
Na takwimu zinaonesha wanaongoza kwa kuachika kutokana na dharau zao kama wenyewe wapo humu msumari wa power tiler uwachome
 
Ungekuwa unajua kucheza na psychology ya mwanamke, usingekuwa unayaona haya yote...

Fuata wakubwa wakufubdishe namna na mbinu za kumteka mwanamke hata awe wa namna gani atatulia tu...

Cc: mahondaw

# Nacheka kwa dharaaau.. #
ww unaweza kushindana na ulipo tokea? utakuwa maskin kwa kupoteza muda au pesa
 
Principle number one... usijionyeshe kuwa unamtaka sana.... atajiona malkia.. ndio maana.
Why wanawake weupe warefu wanaringa.. maana wanaume wengi wanawapaparikia..and for that wanajenga confidence kuwa ni hawakamatiki....
 
natunaini hamjambo

reo nimeona bola tishirikiashane kuhusu tabia za hivi viumbe vya aina hizi.mbili
::wanawake warefu::wanawake weupe

ndugu zangu hawa watu ni wanazarauuu sjapata kuona sjui inatokana na nini mpaka wanakuwa hivi na takwimu.zina.onesha wanaongoza kwa kuachika kutokana na zarau zao kama wenyewe wapo humu msumari wa power tiler uwachome

Kwanini ni REO,Jana vipi? Wana ZARAU Gani? Bola Umeongea.
 
natunaini hamjambo

reo nimeona bola tishirikiashane kuhusu tabia za hivi viumbe vya aina hizi.mbili
::wanawake warefu::wanawake weupe

ndugu zangu hawa watu ni wanazarauuu sjapata kuona sjui inatokana na nini mpaka wanakuwa hivi na takwimu.zina.onesha wanaongoza kwa kuachika kutokana na zarau zao kama wenyewe wapo humu msumari wa power tiler uwachome
Kwani ni lazima uongee nao? Ww ukiona wamekudharau kaa kimya, na ufanye mambo mengine yeny maana.
 
Anhahaa! Kama nakuona vile unavyo andika! Uuuuuh!
 
natunaini hamjambo

reo nimeona bola tishirikiashane kuhusu tabia za hivi viumbe vya aina hizi.mbili
::wanawake warefu::wanawake weupe

ndugu zangu hawa watu ni wanazarauuu sjapata kuona sjui inatokana na nini mpaka wanakuwa hivi na takwimu.zina.onesha wanaongoza kwa kuachika kutokana na zarau zao kama wenyewe wapo humu msumari wa power tiler uwachome
Reo = Leo
Bola = bora
Zarau = dharau

Pole shemeji achana nao wasikuchoshe
 
Back
Top Bottom