Faida na hasara kufanya mapenzi kabla au wakati wa ndoa

Pyepyepye

JF-Expert Member
Jan 6, 2017
1,940
3,829
Ni zipi faida na hasara za kufunga ndoa mkiwa mshajuana kugegedana tayari?

Na ni zipi faida na hasara za kufunga ndoa mkiwa hamjajuana (kugegedana)?
 
Ni kujiongezea nuksi tu kwenye maisha.

Watoto wote wanaozaliwa kwa sababu ya wazazi kugegedana kabla ya ndoa, na baadaye kufunga ndoa baada ya mimba ya mtoto kutungwa au mara baada ya kuzaliwa kwa mtoto, huwa wana migogoro sana kwenye maisha yao.

Kama sio kielimu, ni kwenye mahusiano yao, kama sio mahusiano ni kwenye uchumi kama si kwenye uchumi wengi huwa na roho ya kukataliwa sana.

Mwenye sikio la kusikia na asikie.
 
Faida wapendanao mnakua mmezoeana mazingira ya kila kona ya mwili.

Maelewano mazuri,kujuana tabia kwa undani mkiwa karibu zaid kimwili.

Faida nyingine muhimu kujua umbile halisi la mwenza wako,sio usiku wa kwanza kuwa pamoja unauona kama mateso,hasa wanawake wanaoolewa na wanaume wenye maumbile makubwa au vibamia.au wanaume kuoa mke mwenye tako kubwa baadae anagundua ni kigodoro lazima kinuke hapo.

Hasara kuchokana mapema,pia yale mazoea ya penzi la uchumba yanapungua maana baadhi ya manjonjo na utundu vinaisha kabisa sababu ya ubusy kazini na majukumu mengineyo

Kukurupukia ndoa kisa mimba isiyotarajiwa matokeo yake inakua ndoa ndoano
 
Kuna kijana wa miaka 24 aliniomba ushauri, ameanza kutoka na girlfriend wake miaka mitano iliyopita mdada ana 23. Wamekwenda wakati wanamaliza A-level yule kijana aliapply chuo mbali ili awe mbali na msichana. Mdada hakuelewa aliapply chuo kile kile, wamefika kule baba wa msichana mambo yake super, amempa pesa ndefu binti yake, binti amechukua nyumba nzima wanakaa na mkaka. Huyu kijana hana raha anaona kama yuko kwenye mtego kutoka hawezi.
 
Ni kujiongezea nuksi tu kwenye maisha.

Watoto wote wanaozaliwa kwa sababu ya wazazi kugegedana kabla ya ndoa, na baadaye kufunga ndoa baada ya mimba ya mtoto kutungwa au mara baada ya kuzaliwa kwa mtoto, huwa wana migogoro sana kwenye maisha yao.

Kama sio kielimu, ni kwenye mahusiano yao, kama sio mahusiano ni kwenye uchumi kama si kwenye uchumi wengi huwa na roho ya kukataliwa sana.

Mwenye sikio la kusikia na asikie.
Hii kitu nimeishuhudia before
 
Faida Ni kwamba hamta uziana mbuzi kwenye gunia.....

Hasara Ni kwamba mtatakiwa kutubu zambi zenu......maana mnazini......
 
Ni kujiongezea nuksi tu kwenye maisha.

Watoto wote wanaozaliwa kwa sababu ya wazazi kugegedana kabla ya ndoa, na baadaye kufunga ndoa baada ya mimba ya mtoto kutungwa au mara baada ya kuzaliwa kwa mtoto, huwa wana migogoro sana kwenye maisha yao.

Kama sio kielimu, ni kwenye mahusiano yao, kama sio mahusiano ni kwenye uchumi kama si kwenye uchumi wengi huwa na roho ya kukataliwa sana.

Mwenye sikio la kusikia na asikie.
kabisa mkuu
 
Mkuu uko sahihi 100%
 
Kuna kijana wa miaka 24 aliniomba ushauri, ameanza kutoka na girlfriend wake miaka mitano iliyopita mdada ana 23. Wamekwenda wakati wanamaliza A-level yule kijana aliapply chuo mbali ili awe mbali na msichana. Mdada hakuelewa aliapply chuo kile kile, wamefika kule baba wa msichana mambo yake super, amempa pesa ndefu binti yake, binti amechukua nyumba nzima wanakaa na mkaka. Huyu kijana hana raha anaona kama yuko kwenye mtego kutoka hawezi.
Dah, hiyo hata mimi nisingeweza.
 
Hayo mambo yalikuwa ya miaka ya nyuma ila kwa sasa usipojaribu kabla ya ndoa kuna uwezekano mkubwa wa kuuziwa mbuzi kwenye gunia

Kama wengine wanaweza hongera zao ila binafsi siko tayar kuuziwa mbuzi kwenye gunia, kuna wengine wana abnormalities ambazo kama hujawavua nguo huendo usizigundue hadi ndoa pia kuna KE wengine wamekeketwa sasa hapo utaprove vp vitu kama hivyo bila kumvua?
 
Back
Top Bottom