Wangoni1985
Member
- Apr 2, 2017
- 19
- 36
Nimeoa muda si mrefu binti wa kitanga.
Toka tupo kwenye uchumba alikuwa na tabia ya kulia kwa sauti wakati wa tendo la ndoa. Nilikaa naye nikamwambia hii tabia ya kulia wakati wa tendo siyo nzuri maana tukiishi kwenye nyumba ya kupanga utawakera watu .
Akahaidi ataiacha nikimuoa. Sasa tuna miezi minne tu tunaishi kwenye nyumba ya kupanga lakini yeye ndiyo kelele zimeongezeka hadi majirani wanalalamika wanahisi mimi labda nampiga. Nikiongeza sauti ya subwoofer au TV na yeye anazidi kupaza sauti. Nafikiria nimwache ila bado nawaza maana ana mimba ya miezi miwili.