if not now
Senior Member
- Mar 4, 2017
- 186
- 171
Habari za jioni wana MMU,
Kuna jambo nimekuwa nikilifikiria sana lakini bado sijalipatia jawabu ni kuhusu hili jukwaa la love connect. Kwa wale waliotafuta wenza huko naombeni kujua kama mmefanikiwa kuwapata maana natarajia kutafuta mwenza.. Hivyo basi wadau naombeni feedback kama unaweza ukapata mpenzi huko aliyetulia au nikazane na kitaa tu