Wanawake wengine bana..

Grau

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
4,439
4,146
Duh! huyu mwanamke simuelewi kabisaaa, yaani kiukwel sijui kama anamapenz ya dhati kwangu au ana pretend.
Nimwanamke ambaye tumeahidiana kuoana na pia ikitokea nimempelekea zawadi na yeye ananiletea zawad yaan in short tunasaidiana.

Tatizo ni moja tu tangu juzi namuomba papuchi ananibania leo hii tena nimemwambia kuhusu kitu hicho kagoma maana kesho naondoka namuacha home huku nikielekea mkoa mwingine kikazi.
Je, nimuache hivyohivyo kweli au nitumie nguvu maana huko niendako naweza kaa hata miaka miwili ndio nirudi kwaajili ya kukamilisha masuala yoote kwake.

AU NDIO NIACHANE NAE MAANA ET ANANIAMBIA ATAKUWA MWAMINIFU KWANGU ILA MIMI NINAMPANGO WA KUMUACHA
 
Umemuuliza kama yupo siku hatarishi kupata mimba au ndio umelazimisha tu papuchi kwasababu wewe unaondoka?
 
Kwani lazima ww, oa kwanza au acha afu uangukie wa jamvi la wageni kutoa dk 0 tu
 
Mmehaidiana kuoana sio wewe kuoa ina maana wote mna maamuzi sawa huna sauti ya mwanzo kwa mpenzi wako

Pia huna lugha nzuri pale unapoomba tendo. Kama unamuacha muache tu maana itakua na yeye kakuchoka kwa vitabia vyako vya chini chini,mwanaume huwa hahesabu zawadi anazoletewa na mpenzi wake ila wewe zawadi unaona ni msaada,pesa unazompa unaona kama ni fimbo ya kupata penzi kila utakapo

Unaonekana ni mbakaji hodari eti au nitumie nguvu hahaha jaman
 
imenipenya hiyo kaka
 
Kuna uwanda mpana kati ya kupenda na kutamani, ila wengi wameshindwa kulitambua hilo akiwemo muweka uzi huu.
 
Ndani ya miaka miwili hawezi kukusubiri huyo hamna cha uaminifu atagongwa huyo na wengine tia udude kama htaki chukua mwingine
 
We nenda tu safari yako, kwa ulikuwa hujajua kwa nini unanyimwa papuchi mkuu? Nakulaga hiyo ngoma we subiria ndoa tu maana ukupewa waweza ghairi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom