Wadau habari zenu.
Samahanini kwa usumbufu. Huwaga napendelea sana kunywa bia hasa castle lite. Tatizo nilokua nalo nikuwa kadiri ninavyoendelea kunywa na hapohapo napata mafua.
Yani sielewi kwa...
Habari zenu wapendwa,
Naomba msaada, mimi na mme wangu ni discordant couple, tuligundua miaka 2 ya nyuma wakati mimi mjamzito na tulipoenda kupima ndio tukapata majibu hayo, tuna mtoto 1 na sasa...
Kuna jambo nimekutana nalo limenishangaza mno
nimeona nililete hapa na watu wengine waeleze uzoefu wao...
kuna watu wawili tofauti nawajua.....
inasemekana hao watu ni wagumba...
licha ya kuoa...
Habari zenu wanajamii.
Muda wa kukubaliana kati ya mwanamke na mwanaume baada ya kutongozana unatofautiana kwa kila couple.
Nahitaji kujua ulitumia muda gani kumpata uliyenae!?
Habari wanajamvi,
Naomba kuuliza hivi kwanini matangazo mengi yanayoonyesha kutibu tatizo la nguvu za kiume hutumia picha za dushe kubwa nene na ndefu.
Je kuna uhusiano gani kati ya ukubwa wa...
1. Kabla ya mtoko mpenzi wako anakuomba umtumie hela ya salooni ( unatuma )
2. Ili aweze kuja hapo ulipo na unapoelekea unaombwa hela ya bajaji au texi unatuma ili aje muonanee.
3. Mkitoka...
Msinichoke me ni mwandishi wa Script na Riwaya
Last week nikaitwa na rafkiangu, oh njoo kona baa sinza! Nikagomaa kwanza kona bar kumefungwaaa akaniambia we njooo tutakupa story nyau wee
Basi me...
Aiseee kuna wanawake sijui hawajielewi? Yaani unamkuta kutwa nzima anashinda kwenye kioo utafikiri anaukoo nacho, kutwa nzima kujipodoa unashindwa hata kukaa na mmeo kudiscuss mambo ya msingi au...
Habari za leo wapendwa,
Niliota na kuwaza siku nitakayosema 'I do', hayawi hayawi yamemkua, nimepata mchumba na ndoa ni baada ya Kwaresma. Tatizo ni kuwa huyu jamaa tumekutana Bongo akiwa...
Ninae mchumba wangu kwa sasa tuna takribani miaka 2 kwao ni tanga Mheza yaani mdigo. Huyu binti toka niwe nae katika mahusiano amekuwa na heshima ya hali ya juu na alinieleza hawezi kunipa puchu...
Kuna wanaume wamelaaniwa kabisa, Naam, tena wamelaaniwa hasa. Unakuta mwanaume ana mke kiwembe ile mbaya hadi tigo anagawa lakini jamaa limekomaa naye utadhani linapata uhai kila linapokula...
Nitafute wakati una huzuni, nitafute wakati hamna wa kukusikiliza. Sijali kama mimi ni kimbilio lako la mwisho, bali sipendi ulie peke yako.
If love can be avoided simply by closing our eyes, I...
Poleni Sana madada wa zama hizi wenye umri wa kuanzia miaka 30 na kuendelea. Mliochezea fursa.
1. Ulivyokuwa una miaka18 mpaka 22 walikuja waposaji ukasema bado unasoma. Au Wazazi wako...
Ninae mchumba wangu Kwa sasa tuna takribani miaka 2 kwao ni tanga mheza yaani mdigo. Huyu binti toka niwe nae katika mahusiano amekua na heshima ya hali ya juu na alinieleza hawezi kunipa...
Habari
kuna jambo linanishinda hapa. huyu mwanamke anapenda mapenzi sana mpaka nataka nihame nyumba.
kitu kinachonishinda nikiwa faragha na huyu mwandani wangu.... nikishamaliza huwa nakuwa...
Dunia haiishi visa,
Week iliyopita ni dada mmoja yalimkuta,
Ana mpenzi wake waliahidiana mengi ikiwemo kuoana. Dada anafanya kazi na mkaka japo ni 35 ukaka unakaribia kuisha anajiendeleza...