Habari wadau,
Nina swali kidogo,
Hivi inakuwaje msichana unaenda kujinunulia engagement ring, tena unaitest kabisa ndio unampa boyfrend akuvalishe? Hata kama bwana ndie anagharamia mi nahisi...
Mambo JF,
Ebana kuna kesi nimeletewa hapa niitolee maamuzi lakini nimeshindwa nianzie wapi,
Issue iko hivi, kuna jamaa angu jana kaenda club na Manzi wake, sasa katika ile kuruka Debe jamaa...
Habarini Wadau,
Kwanza naomba sana Tuwaheshimu Wanawake "Wanaojiheshimu" kwakuwa ndio mama zetu. Tupunguze lawama nyingi juu yao.
Nitaeleza sababu nizijuazo zinazopelekea kuwepo kwa Single...
Kuna mengi hatujui kuhusu marafiki zetu.
Kuna watu wameumizwa na marafiki zao kwa sababu hawakuwa na macho ya rohoni kuweza kuwatazama.
Kama wewe ni mmoja kati ya wale ambao marafiki wamekuwa...
Huyu jamaa huwa tunaenda kuchuliwa kila weekend siku za jumapili kwenye Barber shop flani hivi, kama mnvyojua ukishakua mteja unajichagulia na mtu spesho kukuhudumia sio kila siku unabonyezwa...
wakuu
Baada ya kushindwa kuvumilia vitimbwi vya huyu mwanamke niliyedumu nae tangu mwaka huu uanze, kwa sasa nimeamua kumpiga chini "kumuacha" kwani kila lenye mwanzo lina mwisho wake...
Kuanzia jana nimeamua kuwa na mpenzi mmoja na kuacha kuruka ruka kama ndege asiejua atapata wapi nafaka ya kula. Baada ya kumpata mwanamke anaeonesha mapenzi dhahiri kwangu kwa muda wa miaka...
Wana jf,niliwahi kuwa na gf kwa miaka 3 muda wote huu tulikuwa tuna date tu na hatukufanya ngono,lakini aliniacha bila maelezo, wa pili nae sikutaka kumpa moyo wangu wote kwanza lakini wakati...
Habari wakuu,
Kuna kitu kimenishangaza, kuna jitu tuliachana nalo, nimesikia limepata mtoto na limemwita jina sawa na la kwangu.
Hivi ni halali kweli hata kama sina hati miliki ya hilo jina?
Wakuu,
Kutokana na kuumizwa sana na watoto wa kike basi nimeamua kutokuoa kabisa na badala yake nimeamua kuzalisha wanawake watatu tofauti watakaokuja kuwa wazazi wenzangu.
Asanteni
Wakuu!
Mwanamke aeleweki adhima yake,
Rejea kichwa cha habari hapo juu
Walipenda baadae wakatengana lakini cha kustaajabisha baada ya kutengana mwanamke analeta ubabaishaji wa akili kwa...
Niko kwenye mahusiano ambayo kiukweli siyafurahii hata kidogo, huyu kaka ananipenda ila kuna tabia zake za kuwasiliana na wanawake naamanisha akipigiwa simu namba huwa anafuta na mimi ni bonge la...
Friends are needed.As long as you can decide to have friends or not;friends are found ,and you can put criteria for your friends: Therefore I am asking for heterogeneous friends to share all...
Habari ya Jumamosi wapendwa,
Leo nimekumbuka story ya shost,
Shost huyu alikuwa mzuri na mrembo, alianza kujiingiza katika mambo ya ulimbwende akiwa kidato cha V, alipomaliza kidato cha sita...
Time heals all broken hearts and wounds..ni suala la muda tu maumivu yote ya mioyo na mwili yanapona na Mungu alituumbia kusahau so still ni suala la muda tu kabla mambo yote yakae sawa kwa mtu...
Habarini Wadau,
Sio siri ukidate na binti yeyote wa kichaga....hata kama hutamwomba picha yake, ni rahisi na mapema sana yeye mwenyewe kukuomba ya kwako kwa lengo la wewe kumwomba naye atume...
1. Mwanamke ni kama shule, kamwe hauwezi hitimu.
2. Mwanamke anahitaji matunzo na kujaliwa usipofanya hivyo unakaribisha wengine kufanya hayo.
3. Cheti chako cha ndoa yako na yeye sio "leseni ya...
wakubwa,heri ya jumapili?
kuna binti kanistaajabisha sana, huyu binti Nina uhusiano naye wa kama miezi minne hivi, sasa juzi alikuwa anasafiri kuelekea kituo Chake cha kazi Bahati mbaya gari...
Naomba kufaham kwanini baadhi ya wadada hawapend kabisa masuala ya romance. Wao hutaka kusex tu na ukianza hiyo michezo wanakuwa hawapendi kivile.
Naomba kupata uzoefu kama na wenzangu mliwahi...
Nimeoa januari 2013 ndoa ya kanisani na tulipima ila nadhani mke wangu alifahamiana na madokta,mwezi uliopita nimegundua anatumia ARV toka april 2013.
Nimepima mara nyingi sina virusi hata leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.