Ukweli hasa kuhusu waliozaa bila kuolewa "masingle mama"

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
28,416
39,493
Habarini Wadau,

Kwanza naomba sana Tuwaheshimu Wanawake "Wanaojiheshimu" kwakuwa ndio mama zetu. Tupunguze lawama nyingi juu yao.

Nitaeleza sababu nizijuazo zinazopelekea kuwepo kwa Single Mothers:

1) UZEMBE / UJINGA WAO WENYEWE:

Ukichunguza vizuri utagundua single mums wengi wa mjini ni Wasomi kabisa, sasa inashangaza kwamba:

Kama hawataki kuzaa na Mwanaume wanashindwa nini kutumia njia za kuzuia Mimba wakati zipo nyingi tu?

Kuna Condoms, Vijiti, Vidonge au basi si wasome mizunguko yao (menstruation cycle).

Kwani huwa wanabakwa?


2) UMRI KUWA MKUBWA BILA KUOLEWA:

Wengine wanabeba mimba kwasababu wanagundua kuwa umri unawatupa mkono na wana wasiwasi huenda wasije kuolewa baadae.

3) SISI WANAUME:

Kuna ile dizain unapata dem halafu kama maisha hayajakaa vizuri unaamua tu umpe mimba (hutumii ndom) halafu mengine yatajijua mbele kwa mbele, au wanaume wengine ndio ile unakuwa una hamu na Mtoto kwahiyo unampa yeyote mimba.


USHAURI:

■ Kwa wanawake kuweni makini sana kabla ya kufanya maamuzi ya kufanya mapenzi, Au ikiwa ni ridhaa yako kuzaa na yeyote kabla ya Ndoa basi msiwe na hasira, Povu na chuki kwa Wanaume wote.

■ Wanaume tusiwadis hawa watu kwasababu mimba tunawapa sisi.

NB: Bora Single Mama kuliko Mtoa Mimba (Muuaji)


Wabillah Tawfiq.
 
Ivi mambo yalivyokua mengi hiviii masingo maza tu ndo mmeona wa kuwazungumzia kila siku!!!?
Hamna jipya, kila uzi unazungumzia the same thing!

Over repetition !
 
Ukitaka upigwe za uso JF fugua uzi unaoenda kinyume na wanachotaka kusikia singo maza, utakula za uso!
Uzi unajionyesha!


[HASHTAG]#TUNATOTOLESHA[/HASHTAG].
 
Naona huu mwaka mmewaamulia aiseee lakini huwa wana povu balaaa sijui wakija utaliweza??? Sema umewapa ushauri hujawadis
 
Kuna vitu vingi vya ku discuss hata nchi yetu inavyoedeshwa yes wapo single mothers ndio maisha wanataka kuishi au kupangiwa kuishi ili mradi hakusumbui wewe nd wewe sio muhusika sioni haja ya kuwataja kila mara.
Huku ndani kuna watu wanaponda single mum wkt maisha yenu mmelelewa na mama tu hata kama wazazi walioana ila baba wengi hawajali familia so + + = singo mama tu mna ndugu pia wapo hivyo give us a break so mlitaka tutoe mimba then mlete topic ya wagumba no one is perfect u cnt live wth us u beta sepaaa
 
Back
Top Bottom