Naomba kufaham kwanini baadhi ya wadada hawapend kabisa masuala ya romance. Wao hutaka kusex tu na ukianza hiyo michezo wanakuwa hawapendi kivile.
Naomba kupata uzoefu kama na wenzangu mliwahi kukutana na hali kama hiyo.
Naomba kufaham pia tatzo huwa ni nini hapo na je suluhisho la hali kama hiyo ni lipi??