Kutokana na kuumizwa sana na watoto wa kike basi nimeamua kutokuoa kabisa na badala yake nimeamua kuzalisha wanawake watatu tofauti watakaokuja kuwa wazazi wenzangu.
Huo ni utoto,subiri wakuwe ndo utaona ugumu wa sebene hilo. Bora ungeamua kuwazaa na mmoja na ukae nae mbali.Japo watu wengine mnatafuta lawama tu basi. Siku akiolewa na mmewe hampendi mwanao?
Kumbuka,malezi siku zote mama tu!Hata kama una pesa kama nyasi,huwezi ukalea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.