Nimeikuta mahali nimeona niwashirikishe.
Kijana mmoja alikua akimpenda sana Mama yake, kwakua Mama yake almlea kwa shida sana tena kwa upendo wa hali ya juu kijana yule alilipa fadhila kwa...
Nina mpenzi wangu tumeahidiana tutaoana tumeshafanya taratibu mbalimbali ili kufikia malengo.
Mwaka 2015 alichaguliwa kujiunga na chuo kikuu kimoja hapa nchini process zetu za ndoa nikasitisha...
Sisemi kwamba watu ambao hawajaenda shule au kukaa kwenye society ya watu wengi tofauti tofauti siyo watu, lakini ni wazi watu ambao hawajaishi maisha hayo wana taabu sana.
Japo na wanaume wapo...
Wana Jamvi, pamoja na uzoefu wangu kwenye mambo ya mahusiano kuna mkasa umenikuta na nashindwa kuutatua.
Kisa kiko hivi...
Nilikuwa na kimchepuko changu kimoja, hiki kimchepuko nilikuwa napiga...
Mwaka juzi katikati nilianza mawasiliano na dada mmoja. dada huyu ambaye ni mwajiriwa Serikalini mara baada ya kuonana Dar akitokea kwake tulikubaliana kuanza mahusiano baada ya kuafikiana...
Habarini wanajamvi
Mada tajwa hapo juu yahusika
Miaka 4 iliyopita wakati nipo chuo nlimpata mdada mmoja ambae hakua mwanachuo Ila alimaliza certificate flani then akawa anafukuzia kazi
Tukaanza...
Habar wakuu.
Jana nilikua naangalia kipindi flani kwenye TV wanapinga na kuona ni ukatili na unyanyasaji Wa kijinsia kumpiga Mwanamke...
Wanawake siku hizi wamekuwa na madudu mengi sana mpaka...
Ninapenda sana kufunga ndoa maana ni maagizo kutoka kwa Mungu baba ila sipendi kufanya sherehe naona gharama sana, sasa sijui itakuaje mchumba akitaka sherehe.
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.Mwanaume ninaemuhitaji awe...
Binadamu tupo tofauti kutokana na malezi tofauti ambayo kila mmoja amekulia. Watu wawili wanapoamua kuwa na familia ni vizuri kila mmoja akawa tayari kumchukulia mwenzie kwa upole kutokana na...
Jamani kuna watu wanaishi maisha ya ndoa kwa kuvumilia sana!Hakika mwanamke kapewa moyo wa uvumilivu sana. Mwanamke anaweza fanyiwa ubandidu na madharau na mumewe lakini akaendelea kukomaa tu kama...
Habari za maisha waungwana!? Good!!, kazi na dawa ili tuwe inspired hasa wenye malengo kama niliyojiwekea like 12 years ago
Kichwa cha habari hapo juu ndio ilikua salamu yangu ya kwanza toka kwa...
Wazee wa MMU habari zenu, kuna kautafiti kadogo nimekafanya baina ya Watu waliokua kwenye mahusiano na wale ambao hawako kwenye chain ya mahusiano ya kimapenzi.
Ambao hawako kwenye mahusiano ya...
Hii ni kwenye mahusiano na maisha kwa ujumla wake.
Hii ni principle nzuri tu sana katika kukabiliana na sintofahamu inayotokea baina yetu wanaume kwa wanaume ama wanaume kwa wanawake and bice versa!
Habari wana JF.
Juzi kati kuna kazi nilipata katika shirika Fulani hivi sasa songombingo ikawa siku ya kuhamia hapo kwenye chumba nilichotaftiwa na shirika.
Tulifika hapo kama mida ya saa...
Helooooooo!
Wanajamvi natumai mu wazima wa Afya njema.
Twende moja kwa moja kwenye Mada.Ni kwamba kwa utafiti niliofanya kwa Muda mrefu Sasa.Kuhusu hii kitu inayoitwa USALITI.
Asikwambie...
Habarini za mihangaiko!
Mimi nimeoa yapata miaka 7 iliyopita na tumebarikiwa na mtoto mmoja mpaka sasa.
Mahusiano yetu hayajawa na utelezi japo natambua ni kawaida kuwa na milima na mabonde Ila...
Habari za asubuhi wana MMU wenzangu,
Ni ukweli usiopingika kuna wakati huwa tunawamiss ma x wetu, ila tunajikaza tu, ila moyoni huwa tunalitambuwa hili, wakati mwingine wanatuachia mapengo...
Kwa rehema za Manani natanguliza amani
Moyo upo mashakani macho yapo gizani
Si lakuvunda wala la ubani kwake taabani
Kwa penzi lake la thati moyo upo rehani
Nikupendae ni ww wengine hawana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.