X wangu amemuita mwanae jina langu

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,051
2,106
Habari wakuu,

Kuna kitu kimenishangaza, kuna jitu tuliachana nalo, nimesikia limepata mtoto na limemwita jina sawa na la kwangu.

Hivi ni halali kweli hata kama sina hati miliki ya hilo jina?
 
d8786c5d1ed41ffcc0651aa4e964a319.jpg
Mtu mmeshaachana ya nini kumfatilia?
 
Back
Top Bottom