Habari wadau,
Nina swali kidogo,
Hivi inakuwaje msichana unaenda kujinunulia engagement ring, tena unaitest kabisa ndio unampa boyfrend akuvalishe? Hata kama bwana ndie anagharamia mi nahisi inapoteza mvuto na sio romantic. Nina shoga yangu kapewa hela akajichagulie ajinunulie, mimi nilidhani engagement ni kama suprize vile au nyie mnaonaje?