tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,877
- 15,444
Mambo JF,
Ebana kuna kesi nimeletewa hapa niitolee maamuzi lakini nimeshindwa nianzie wapi,
Issue iko hivi, kuna jamaa angu jana kaenda club na Manzi wake, sasa katika ile kuruka Debe jamaa anasema Manzi akawa anamkwepa kucheza nae instead akawa anacheza na linjemba lingine na katika uchezaji wake yule Manzi inaonekana alikua anakata mauno balaa maana jamaa kunionesha hadi ushahidi wa video.
Sasa jamaa yangu sijui ndo wivu au nini akahisi Manzi wake anafahamiana na yule mshikaji aliyekua wanaruka nae debe so jamaa amerudi home fresh ila kamkung'uta yule Manzi wake hatari. Hivi tuongeavyo Manzi amekimbilia kujificha kwa shost wake.
So wakuu, tushirikishane hii kesi naisolve vipi maana jamaa kaniletea hii issue ili niwasuluhishe ila kabla ya kutoa ushauri wangu ningependa kupata uzoefu wenu kwamba kule club Manzi inakuaje umkatikie mauno mwanaume ambae hamna mahusiano nae ni kawaida au ni pombe tu?