laana toka kwa mwanamke baada ya kuniacha

ubuntuX

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
1,998
Reaction score
2,242
wakuu

Baada ya kushindwa kuvumilia vitimbwi vya huyu mwanamke niliyedumu nae tangu mwaka huu uanze, kwa sasa nimeamua kumpiga chini "kumuacha" kwani kila lenye mwanzo lina mwisho wake

Yaliyonishinda kwake ni mengi, likiwemo lile la kunilazimisha kuzama chumvini
Hivyo nimeachana naye na kanitupia laana za kutosha hadi najawa na hofu

kanilaani vikali sana kwamba sitakuja pata mwanamke mzuri mrembo na mwenye upendo wa dhati kwangu zaidi yake

ameongeza kuwa, lazima laana ya kuteswa na mpenzi mpya inipate pia

wakuu naogopa maumivu ya mapenzi, vipi hii laana toka kwa huyu mwanamke ambaye nimemshindwa huku yeye bado ananihitaji sana haiwezi nipata na nikapata maumivu au kukosa wa mapendo kama au hata zaidi yake

wajuvi, hizi laana huwa zinamashiko kweli?
 
edition kwenye title iwe baada ya "kumuacha"
 
Hiyo laana haiwezi kukupata hata siku mmoja... Hujamfanyia chochote cha utakatili ni yeye ma tamaa zake za mwili tu...

Usiwe na wasi wasi... Dua la kuku halimpati mwewe...

Laana ambayo inayoweza kukushukia ni ile mvuje jasho pamoja mpaka kwenye mafaniko makubwa.. Alafu uje umtose kwa mangumi, matusi, kejeli, dharau... Hapo laana inakupata...

Cc: mahondaw
 
wakuu

Baada ya kushindwa kuvumilia vitimbwi vya huyu mwanamke niliyedumu nae tangu mwaka huu uanze, kwa sasa nimeamua kumpiga chini "kumuacha" kwani kila lenye mwanzo lina mwisho wake

Yaliyonishinda kwake ni mengi, likiwemo lile la kunilazimisha kuzama chumvini
Hivyo nimeachana naye na kanitupia laana za kutosha hadi najawa na hofu

kanilaani vikali sana kwamba sitakuja pata mwanamke mzuri mrembo na mwenye upendo wa dhati kwangu zaidi yake

ameongeza kuwa, lazima laana ya kuteswa na mpenzi mpya inipate pia

wakuu naogopa maumivu ya mapenzi, vipi hii laana toka kwa huyu mwanamke ambaye nimemshindwa huku yeye bado ananihitaji sana haiwezi nipata na nikapata maumivu au kukosa wa mapendo kama au hata zaidi yake

wajuvi, hizi laana huwa zinamashiko kweli?

Daah!! Tunaumbwa tofauti,kuzama chumvini mtu unaona nongwa.. Hiyo laana lazima ikufike, kaombe msamaha afute kauli zake..!!
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
We subiri tu laana ikamilike.
 
Hamna laana hapo ndugu yangu laana kwa kukutaka ufanye dhambi/uchafu??
Shukuru Mungu na umtegemee atakupa anayekustahili
 
wakuu

Baada ya kushindwa kuvumilia vitimbwi vya huyu mwanamke niliyedumu nae tangu mwaka huu uanze, kwa sasa nimeamua kumpiga chini "kumuacha" kwani kila lenye mwanzo lina mwisho wake

Yaliyonishinda kwake ni mengi, likiwemo lile la kunilazimisha kuzama chumvini
Hivyo nimeachana naye na kanitupia laana za kutosha hadi najawa na hofu

kanilaani vikali sana kwamba sitakuja pata mwanamke mzuri mrembo na mwenye upendo wa dhati kwangu zaidi yake

ameongeza kuwa, lazima laana ya kuteswa na mpenzi mpya inipate pia

wakuu naogopa maumivu ya mapenzi, vipi hii laana toka kwa huyu mwanamke ambaye nimemshindwa huku yeye bado ananihitaji sana haiwezi nipata na nikapata maumivu au kukosa wa mapendo kama au hata zaidi yake

wajuvi, hizi laana huwa zinamashiko kweli?
Hizo Mbwembwe tu huwa akujaza uwoga ili umrudie na akumiliki kimwili na kiakili...ata usiogope mim pia yameshawahi tokea....[emoji4] [emoji85]
 
Sasa Kizazi hiki Chenyew kimelaaniwa... Mtu ananyonywa Huko Chini Laana anawezaj mpa Mtu huyooo
 
Yani kosa kubwa apo ni kukulazimishwa kuzama chumvini..wakt ni sehemu ya kumfurahisha..Aise hiyo laana wacha ikupate tu..Na ni vema umpe member mmoja apa number yake vijana wajitolee bure kabisa...kumsaidia
 
Kama kuna kingine zaidi ya hapo ulomfanyia. Inaweza kukupata.
Lakini Kama kisa ndio hicho tu. Hamna chochote. Na Na jambo unavyoliamini ndio huwa kweli.
 
Ukihofia inakukuta tu, Ukiona dua la kuku ndo haikupati.
 
Dua la kuku kamwe halimpati mwewe,,,, kelele za mlango zickunyime usingz, keep move on unless otherwise, lakin kwa maneno yake tuu tena unampata zaidi yake ambae hata hukudhan kama ungekuja Pata mpenzi bora kama huyo new
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom