Life nd it's challenges!

Life nd it's challenges!

Ncherry1

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2016
Posts
2,181
Reaction score
2,258
Time heals all broken hearts and wounds..ni suala la muda tu maumivu yote ya mioyo na mwili yanapona na Mungu alituumbia kusahau so still ni suala la muda tu kabla mambo yote yakae sawa kwa mtu alieumia au kuumizwa!
 
Aisee me nakimbiaga mapema nkishaona dalili mbaya staki stress
Kwq hiyo wewe hisia zako zina indicator zinakuaalert mapema jirani. Basi unafaa faa
 
Kwq hiyo wewe hisia zako zina indicator zinakuaalert mapema jirani. Basi unafaa faa
Red flag zinaonekanaga mapema sana jirani ukizembea ndo hvo tena
 
Back
Top Bottom