Hivi Kwanini mabinti wa kichaga wanapenda sana kupiga selfie za kuishia shingoni?

Status
Not open for further replies.

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
28,410
39,479
Habarini Wadau,

Sio siri ukidate na binti yeyote wa kichaga....hata kama hutamwomba picha yake, ni rahisi na mapema sana yeye mwenyewe kukuomba ya kwako kwa lengo la wewe kumwomba naye atume yake.

Laa, basi yeye atatuma tu fastaa, lakini swali langu ni kuwa

"Kwanini wanapenda kupiga tu selfie za kuonesha sura na akijiongeza sanaaa mwisho ni kiunoni"

Ukimwomba full pic ni mfyooonzo wa hatari na hata chuki au atakuuliza unaipeleka wapi nawewe...?

Kuna mmoja nilimuuliza ni kwanini hivyo akanijibu mama alinkataza nsimtumie mwanaume picha ya kuonesha miguu yangu.

Cc: miss chagga
Cc: Preta

Wengi watafikiri ni utani ila huu ni ukweli, wallah.

Wabillah Tawfiq.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom