Nimeamua kuwa na mpenzi mmoja na kuacha kurukaruka

jerrysonkiria

JF-Expert Member
Sep 5, 2014
2,228
2,901
Kuanzia jana nimeamua kuwa na mpenzi mmoja na kuacha kuruka ruka kama ndege asiejua atapata wapi nafaka ya kula. Baada ya kumpata mwanamke anaeonesha mapenzi dhahiri kwangu kwa muda wa miaka miwili sasa na tumekwaruzana mara nne na kuachana mara zote hizo ila tumejikuta tukiwa tena pamoja.

Sasa kuanzia leo nimeamua kubaki na mmoja tu!
 
Kuanzia jana nimeamua kuwa na mpenzi mmoja na kuacha kuruka ruka kama ndege asiejua atapata wapi nafaka ya kula ,,,


Baada ya kumpata mwanamke anaeonesha mapenzi dhahiri kwangu kwa muda wa miaka miwili sasa na tumekwaruzana mara nne na kuachana mara zote hizo ila tumejikuta tukiwa tena pamoja ....

Sasa kuanzia leo nimeamua kubaki na mmoja tu!
 

Attachments

  • FB_IMG_1492880836552.jpg
    FB_IMG_1492880836552.jpg
    59.2 KB · Views: 22
Back
Top Bottom