torvic
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 3,803
- 9,291
Wakuu!
Mwanamke aeleweki adhima yake,
Rejea kichwa cha habari hapo juu
Walipenda baadae wakatengana lakini cha kustaajabisha baada ya kutengana mwanamke analeta ubabaishaji wa akili kwa mwenzake wakati anajua wameshatemana. Mara anatumia namba nyingine na kujitongozesha
mara mapicha picha kibao whatsaap alafu mwisho utakuta "sorry nime wrong namba"
mara atumie whatsaap ya shot wake kukupima kama utamtongoza shost wake na anajua fika mmeshatema na vituko vingine kibao vya kitoto toto
sasa kwenye bottom line mwanake wa desgn hii tumuelewe.
Vipi jamani wakuu
Wakuuu!