BigBaba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,908
- 9,040
Nina mpenzi wangu tumeahidiana tutaoana tumeshafanya taratibu mbalimbali ili kufikia malengo.
Mwaka 2015 alichaguliwa kujiunga na chuo kikuu kimoja hapa nchini process zetu za ndoa nikasitisha kwanza mana kule chuo nikawa nategemewa pia kwa kila kitu japo anakimkopo kidogo, kiukweli kimuonekano wa macho yangu anaonekana ananipenda sana ila tatizo moja tu ambalo huwa simuelewi, yani tukiwa tunapanga mambo yetu ya maisha anachokijua yeye au anachokiamini yeye anapenda kiwe kama kilivyo hataki ushauri wangu kabisa hata kama nipo sahihi.
Mnaweza mkawa mnapanga jambo tunaishia tu kugombana mana yeye hujiona anajua kila kitu. Nashindwa nifanyeje wakuu ili twende sawa sometimes nimekuwa nikifanya mambo kimya kimya bila kumshirikisha kwasababu ya kuogopa makelele.
Na mara nyinyi nimekuwa nikifuata ushauri wake unakuta ninaishia kufail tu katika mipango yangu. Kiufupi hashauriki.