Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,655
Ninapenda sana kufunga ndoa maana ni maagizo kutoka kwa Mungu baba ila sipendi kufanya sherehe naona gharama sana, sasa sijui itakuaje mchumba akitaka sherehe.
umeshafanya kitchen part na send offMimi nimesubiri sana kiasi ambacho nilifanya fanya kitchen party na send off, tukikutana ni kwenda tu kanisani.
send off na kitchen part ndoa kimya kimya hapo vpsherehe ni muhimu sana kwa mkeo sio kwako... kuna muhimu anayopata pale we hujui tu..!!!!
Unamaanisha nini hapa?photo shop
sherehe ni muhimu sana kwa mkeo sio kwako... kuna muhimu anayopata pale we hujui tu..!!!!
Hata mimiNinapenda sana kufunga ndoa maana ni maagizo kutoka kwa Mungu baba ila sipendi kufanya sherehe naona gharama sana sasa sijui itakuaje mchumba akitaka sherehe
Aisee na mimi sipendi sherehe na nimezikwepa nyingi maishani, bado ndoa....Itabidi mimi na wewe tuoane sasaHata mimi ninakaugonjwa ka kuchukia sherehe.
Mungu akijaalia nikiolewa napenda ndoa iwe simple sana hata kama tutaenda kwa Shekhe atufungishe then tunarudi home kusherehekea na familia naona sawa tu.
Sijui nina tatizo mana sio mpenzi wa sherehe na hata nikialikwa kuhudhuria ni issue.
Acha ubahiri mkuuNinapenda sana kufunga ndoa maana ni maagizo kutoka kwa Mungu baba ila sipendi kufanya sherehe naona gharama sana, sasa sijui itakuaje mchumba akitaka sherehe.