Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Anaumri Wa 23 Years yupo ktk mahusiano kinachomsumbua n kwamba uume wa mpenz wake hauingii japo tayar utando Wa juu yan bikra alifanikiwa kuitoa cku za karibun. Na uume sio mkubwa pia anapata...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Wazee husikeni na Mada tajwa, Kuna mdada mmoja ambaye yuko kwenye mahusiano na Mshikaji, ingawa uhusiano wao una matatizo, jamaa anamzingua sana huyo msichana. Afu Huyo msichana anampenda jamaa...
4 Reactions
127 Replies
8K Views
MWANAUME MWENYE MALENGO NA WEWE UTAMTAMBUA KWA HAYA Nimekuwekea hapa zisome Tabia za mwanaume mwenye malengo na wewe. 1. Anakupigia simu mara kwa mara na kukuuliza siku yako imeendaje. Anafanya...
18 Reactions
204 Replies
27K Views
Mimi ni mwanamke wa miaka 29 nimeamua kuja jukwaani kutoa hitaji langu la moyo, kwa yeyote mwenye mapenzi ya dhati karibu sana, nipo mkoa wa Mwanza, ningefurahi kama ningepata mwanaume wa Mwanza...
11 Reactions
96 Replies
11K Views
Wasalaam wanajf! Kumekuwa na wimbi kubwa la watu kutafuta marafiki,wachumba na wenza mitandaoni kila kukicha. Hivyo ni vyema tukakumbushana mambo mbalimbali yanayojitokeza kabla,wakati na baada ya...
9 Reactions
32 Replies
9K Views
Ivi ni sahihi au sio sahihi wana ndoa kupeana salamu ya shikamoo?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Happy muungano day!!! Nchini mwetu wanawake wote ni wazuri lakini wapo wanawake wazuri zaidi kwa sura kuliko wengine! Hata viongozi wetu wakuu wameoa wanawake wazuri wazuri, mfano JPM ana mke...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Wanaume bhana ukiwa mjuaji wa mamboz utaitwa kahaba changudoa ukiwa hujui utaitwa gogo sijui golikipa, ukiwa unamjulia hali mara kwa mara utaitwa msumbufu, ukiwa unamchek mara chache utaambiwa...
15 Reactions
78 Replies
8K Views
Salaamu kwenu waungwana, Mwaka 2005 /06 nilikuwa naishi Buguruni maisha ya kisela na kwa kiwango fulani, kwa kweli yale maisha yalikuwa magumu kidogo japo nilijipa matumaini kwamba lazima maisha...
8 Reactions
100 Replies
17K Views
Habari, Nina jirani yangu ni mwanachuo fulani hapa Dar, anaishi na mpenzi wake. Hii likizo amenitesa sana pua na tumbo kwa harufu nzuri za mapishi zinazotokea chumbani kwake asubuhi, mchana na...
24 Reactions
496 Replies
31K Views
Vipi wewe kwa upande wako? Binafsi wanawake wembamba vimbaumbau siwapendi kabisa itokee tu ila wenye nyama ahh swadakta kabisa. Karibu kwenye mjadala wewe wanaokukosha ni wa aina gani?
0 Reactions
71 Replies
10K Views
Nahisi hakuna UKIMWI tena.. Nina uhakika na ninachokisema.. Sijui kama ninyi mna mawazo tofauti.
2 Reactions
56 Replies
6K Views
Kuna uzi unatambaa sana watu wanatoa confession zao, wengine wakijutia na wengine wakijisifu kuwa ilikuaje wakatembea na wake za watu... Kwa sababu confession ni za vijana walio tembea na wake...
7 Reactions
88 Replies
8K Views
Wakuu habari za muda huu, Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada, Ni hivi hapa chuoni ninaposoma kuna msichana fulani ni mwaka wa kwanza mimi niko mbele yake kidogo nilijenga nae urafiki...
2 Reactions
54 Replies
9K Views
Habari zenu wanajf Kama kichwa juu hapo kinavyoeleza ni kwamba nina jamaa yangu hapa mtaani jana amekuja home akiwa na majonzi alinisimulia mambo yalivyo home kwao yeye binafsi mama yake alifarki...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Leo naomba kuwauliza dada zetu je ni kipi hupalekewa wengi wenu kupenda kujibinua makalio wakati wa kupiga picha? hamuoni tabia kama hizo ndio huwafanya wanaume mashababi kupenda kuwaingilia kwa...
4 Reactions
78 Replies
17K Views
Habarini wana jamvi? Nina mwaka na nusu sasa tangu nifunge ndoa na sasa tuna mtoto wa kiume ana miezi mitatu,sasa kabla hatujapata mtoto mke wangu alikuwa anabehave kama malaika vile kitu...
5 Reactions
51 Replies
4K Views
Habari waungwana hope mo salama salmin. Baada ya salam naomba mnisaidie uzoefu juu ya suala la mapenzi. Mimi ni kijana km vijana wengine wa kitanzania wabangaizaji, hali ya uchumi ni "hand to...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Naitwa Dayana natafuta mchumba baadae awe mume nitamjaIi na kumheshimu awe mkristo mkatoliki nina miaka 24. Aliyetayari caII me 0629837251 thank you
5 Reactions
45 Replies
5K Views
Tabia yako ndio utambulisho wako wa kwanza kwa jamii. Watu huijua tabia yako kwa kuyaangalia mavazi yako kwanza, ukiwa wa kutunyanyulia manyonyo na kuyaacha wazi kwetu unatufungua mishipa yetu ya...
7 Reactions
103 Replies
18K Views
Back
Top Bottom