Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,520
Habari za asubuhi wana MMU wenzangu,
Ni ukweli usiopingika kuna wakati huwa tunawamiss ma x wetu, ila tunajikaza tu, ila moyoni huwa tunalitambuwa hili, wakati mwingine wanatuachia mapengo yanayoshindikana kuzibika japo sio wote, ila tunachofanya ni kujikaza tu na kujipa moyo acha maisha yaendelee.
Tumejikuta tunawakumbuka watu kutokana na mambo yao mbali mbali ikiwemo vituko vyao, kila mara vilivyokuwa vinatufanya tunafurahi mbali na maudhi mbali mbali tuliokuwa tunayapitia, ila leo tumejikuta tunawamiss wale ma X kutokana na hawa tulionao hawana. Ila hatuna jinsi inabidi tu maisha yaendelee ila kaa ukijua kama wewe ni X wa mtu fulani, jua kuna sehemu X wako anakumiss ila hana jinsi.