Swala la wanaume kuwapiga wanawake; nini mbadala wake?

floow

JF-Expert Member
Mar 20, 2017
411
855
Habar wakuu.
Jana nilikua naangalia kipindi flani kwenye TV wanapinga na kuona ni ukatili na unyanyasaji Wa kijinsia kumpiga Mwanamke...

Wanawake siku hizi wamekuwa na madudu mengi sana mpaka wanatia hasira....Mimi juzi tuu nimetoka kutoa kichapo cha maana na Mwanamke amerudi kwenye mstar....

Naombeni mawazo yenu tafadhari tusiwapige wanawake tuwafanye nini sasa
Na wanawake kama mnasoma uzi huu ...mtupe mwongozo tuwafanye nini mnapotuletea ushenz::
 
siku hz mwanamke hapigwi mkuu... anaonywa kwa maneno matamu tena yasiyomfanya ajisikie vibaya sana... na pia unaangalia chanzo cha yeye kufanya hivyo... msipoelewana hapo ni kumwacha aende kwao.. kumpiga sio solution..!!!!
 
Mwanamke ni kama mtoto usipo mpiga anakupanda kichwani na atajiona yeye ni zaidi yako na atakuonyesha dharau mpaka mwiaho. Na sisi wanaume tuwe na msimamo mwanamke akiona hataki kupigwa na anajua ni udhalilishaji kwa nn asimtii mwanaume? Ukiingia kwenye 18 zako piga akienda kukushitaki mahakamani ajue ndo taraka yake inafuata . maana wanakera sana hawa viumbe ila wakichezea mkong'oto wanakuwaga na adabu hatari
 
Wewe ukifanya madudu nani anakupiga?! That's sexual assault and its an act or omission punishable by the law, sema mmeoa vilaza. Ukiwa na strong, independent woman huwezi mletea tabia za kienyeji enyeji, unashtakiwa faster, na uki-file divorce unaambulia kurudi kwenu na mashuka tu.

Mpk unafika hatua ya kumpiga mwanamke jua kuna wajibu wako fulani hutimizi, mwanamke anaenda kutimiziwa kwa wadau wengine, ambao mara nyingi hua wanasimamia shoo kwa ustadi wa hali ya juu.
 
Bila shaka wew mkurya
 
Mkuu sio kila kinacho tokea kwenye mahusiano shida ni kusimamia shoo...wanawake wengine sana matatzo yao tuu....kikihusika kipigo akili yake inakaa sawa
 
FB_IMG_14659724505891771.jpg
 
Napenda uungwana sana ila kuna kiwango inabidi tusizidishe sana uungwana.

Biblia inasema "...iweni na kias...", uungwana ukizidi sana ni uboya wa kiwango cha Goodluck Mlinga au Lusinde.

Inapobidi, mwanamke apigwe kama njia ya kujua makosa yake yana uzito gani!
 
Habar wakuu.
Jana nilikua naangalia kipindi flani kwenye TV wanapinga na kuona ni ukatili na unyanyasaji Wa kijinsia kumpiga Mwanamke...
Wanawake siku izi wa
mekua na madudu mengi sana mpaka wanatia hasira....Mimi juzi tuu nimetoka kutoa kichapo cha maana na Mwanamke amerudi kwenye mstar....
Naombeni mawazo yenu tafazar tisiwapige wanawake tuwafanye nini sasa
Na wanawake kama mnasoma uzi huu ...mtupe mwongozo tuwafanye nini mnapotuletea ushenz::

Kupiga mwanamke ni kosa na ni ujinga, dhana ya kupiga ni kumpa mtu maumivu ili aogope maumivu na asifanye makosa, hiki kitendo hakipaswi kufanya kwa mtu mzima. Kama hafai, mwache!
 
Back
Top Bottom