Sio kila mtoto wa kiume ni mwanamme hivyo hivyo sio kila mtoto wa kike ni mwanamke!

PowerWithin

JF-Expert Member
Mar 8, 2014
646
501
Hii ni kwenye mahusiano na maisha kwa ujumla wake.

Hii ni principle nzuri tu sana katika kukabiliana na sintofahamu inayotokea baina yetu wanaume kwa wanaume ama wanaume kwa wanawake and bice versa!
 
Na KUTOA MIMBA HAKUKUREJESHEI USICHANA WAKO BALI UTAKUWA TU MAMA WA MAREHEMU

Hata kamati ya saa 72 ikupe points mezani, ukweli utabaki kuwa we Kagera Sugar humuwezi
 
Ndio maana kuna matom boy na magay, ukiachana na hilo kuna Watoto wa kiume wenye tabia za kike mtaani utakuta hataki kujishughulisha kabisa wala kujumuika na wanaume wenzake na utakuta kuna watoto wa kike wanapiga kazi hawachagui alaf campany yake kubwa ni maboy
 
Back
Top Bottom