Mzee Chapuuka
Member
- Apr 21, 2017
- 97
- 243
Habarini wanajamvi
Mada tajwa hapo juu yahusika
Miaka 4 iliyopita wakati nipo chuo nlimpata mdada mmoja ambae hakua mwanachuo Ila alimaliza certificate flani then akawa anafukuzia kazi
Tukaanza kudate na bahati nzuri tukapata mtoto
Lakini Siku za nyuma kabla hata hatujazaa mwanamke huyu alijitahidi Sana kuwasiliana na mm kila mara hadi tukaja kuishi pamoja nikamlea kipindi chote cha ujauzito hadi akanifungua
Mtoto alipofikisha miezi 4 mamake akapata kazi tena yenye mshahara nzuri Tu katika mkoa mmoja wa lake zone
Nikamgharamia safari akaondoka
Mimi wakati huo nishamaliza chuo na sikuwa na mchongo ikabidi nisepe nimfuate mama mtoto
Baada ya kukaa kwa muda nikaenda mkoa wa jirani kutafuta mishe mishe za kufanya nkafanikiwa maisha yakaenda
Ila baada ya muda mawasiliano yakaanza Kuwa finyu Kwa maana muda mwingi Mimi ndo napiga simu Kwa huyo mwanamke kumsalimia na kujua hali ya mtoto
Hii hali ikawa too much nisipomtafuta nae hanitafuti
Hali hii nimemsema Sana lakini anajirekebisha Siku 2 ya 3 anarudia tena
Kwa sasa sina mchongo wa maana napiga mishe za kupata hela ya Kula na kulipa kodi Ila mwenzangu yeye yuko vizuri ana salary Safi na maisha yake na tunapanga Siku za mbeleni tuwe mke na mume rasmi
Ila hali iliyopo naona kama ananidharau kutokana na ufinyu wake wa kuwasiliana na Mimi
Huwa najiuliza huyu mtu anaamua kufanya hivi kisa kaniona mwanaume suruali au shida ni nini hadi awe mvivu sana kuwasiliana na mm nimefanya uchunguzi Hana mwanaume mwingine
Ila sijui nini hasa kinamfanya asijali hata simu zangu niazompigiaga naamini wakati mwingine anakuta missed call Ila anaamua kukausha Tu
Nahisi huku kutokua na hela kunafanya nisiheshimiwe na huyu mwanamke.