Nikimpata anipendae ntampenda sana na atajuta kwanini hatukukutana mapema

mimadota

Member
Jan 7, 2017
48
108
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote.Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea awe mrefu mweupe au maji ya kunde Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake awe mkristo nitampenda na kumlinda daima Karibu kwa alie pendezewa na mimi.
 
Urefu wako kiasi gani?
 
We binti hebu kama kweli uko serious, naomba uniPM mara tujaribu kuziweka sawa tofauti zetu. Kama ipo ipo tu.
 
Mnao tukana mnaenda nje ya mada kwani kaomba kutukamwa mbona midomo yenu hamuiheshimu poleni,upendi pita sio lazima mmtusi kwani mnauhakika na mnacho mtusi ukimtukana ni kama umemtukana mama yako au shangazi zenu mana nao ni wanawake ,wanaume waheshimuni akina mama kwani wanapitia mateso mengi sana ,hivyo si vyema kumtusi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom