Kama kichwa kinavojieleza.
Ni tukio gani baya liliwahi kukutokea na kukuwekea historia mashani na kusema kamwe hutalisahau? Tukianza na mimi, sitasahau siku nilipokimbizwa na Tembo.
Ilikuwa ni...
Habari zenu,
Nilileta uzi uliosema;
Ushauri: Mpenzi wangu yuko hati hati kuachishwa kazi
Mpenzi wangu baada ya kusubiria malipo yake mpaka leo ajalipwa anapigwa kalenda tu, mara ya mwisho ya...
Wakuu,
Nimekua na jambo linalonitatiza sana katika kutembea na jinsia tofauti sijawai date na msichana aseme hajanifananisha na boy au ndugu yake yoyote.
Msichana wangu wa kwanza(o...
Nataka kuoa watu wenye ethnic hizo mbili, sina sababu ila basi tu nataka kufanya vitu tofauti na wengine. Kama umo humu here is your chance don't let it pass you by
Wakuu salamu humu
Mwenzenu nipo katika mtihani mkubwa Sana dhidi ya hawa wanachuo wangu wa kike
Watoto ni warembo balaa skirt wanazovaa na mikao yao darasani ninapowapigia lecture ni mitego tupu...
Wakuu ukubwa ndio umeshaingia.Tusaidiane maana najua hakuna jambo linaloweza kushindikana humu ndani.
Hapa imeletwa barua juu ya meza, kijana kaleta barua ya posa, lakini barua inakuja wakati...
Habari za week end wana JF?
Mimi binafsi niko salama namshukuru Mwenyezi Mungu, naomba nitumie nafasi hii
adhim ya JF kujitafutia mume. Mwenye nia ya dhati anipm.
Am serious jamani
Utani tuweke...
Kuna stori nimeona sehemu eti mke amekwenda kushtaki kwa moja ya acc za udaku huko insta eti karogewa mumewe hadi kamkimbia yuko na huyo binti.
Yaani mijanamke ya aina hii mimi sielewi hata...
Ikiwa hata kwenye vitabu vya dini imeandikwa, kuishi na hawa mama zetu inabidi kutumia akili Kubwa sana. Bila shaka hautashangaa kuwa akili zao huwa zinafanana sana, iyo isije ikakufanya eti kwa...
LIFE BEGINS AT 40! So how old are you?
Huo ni msemo wanao waingereza.
Today is your future kwa taarifa yako.. Ulipokuwa mdogo ulisema nikiwa mkubwa nitakuwa na gari na nyumba nzuri wazazi wangu...
Salaam wakuu,
Leo nilikuwa na miadi ya kukutana na kimwana wangu maeneo ya ghetto
nilipomaliza mishe zangu nikamcheki hewani.
Akanijibu "Baby nimeteguka mguu tutakutana J3 "nikamjibu "poa"...
Habari zenu wadau,
Kama wiki hivi imepita kuna Dada mmoja kanifuata inbox kwenye Facebook messenger akanisalimia kisha akaanza kuniuliza maswali kwamba nafanya kazi kwenye Ofisi gani na je nimeoa...
Mimi ni kijana mwenye umli wa miaka 31 ni muajiliwa serikalini elimu yangu ni shahada
Nahitaji mke mwenye nia ya dhati kujenga familia umli miaka 24 mpaka 33
Kwa alie serious napatikana kwa...
Habari zenu,
Mpenzi wangu yuko hati hati kupunguzwa kazi kwenye hotel kubwa jina kapuni, toka jana sina raha aliponiambia na tuko kwenye maandalizi ya kufunga ndoa hapa tulipo tumeshauriana hiyo...
wakuu naomba kama upo interested, na kama unaweza kutuhadithia jinsi ulivyokutana na mwenza wako.
Na je alikusumbua ? Ulimfuata mara ngapi?
Hakuwahi kukutukana au kukupa maneno ya kukukatisha...
Wakuu habari za muda huu?
Naomba niwashirikishe hii changamoto tunayoipitia kati yangu mimi na mzazi mwenzangu!
Ni muda wa miaka sita tangu tulipofahamiana na mama wa mtoto wangu, maisha yetu...
Wakuu bila shaka ni wazima wote. Wiki mbili zilizopita nilikuwa na hafla fupi ambayo ilikuwa hafla isiyokuwa na muongozo wa MC. Ilikuwa hafla ambayo nilifanya kama sehemu ya kumpongeza mke wangu...
Wahenga walisema usifanye maamuzi ukiwa
umefurahi sana,
au ukiwa una hasira sana...
Mimi
naongeza, Usifanye maamuzi ukiwa ndo umefall in
Love..
Bado una kimuhemuhe cha kuanza mahaba
na mtu...
Kuna kipindi nilikuja hapa jukwaani kulalamika na kuomba wanajukwaa hili wanisaidie kumpata mwanamke niliyempenda sana na ni member anayejulikana kwa jina la rubii baada ya jitihada za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.