Kufundisha vyuo vya hotel ni mtihani

Mzee Chapuuka

Member
Apr 21, 2017
97
243
Wakuu salamu humu
Mwenzenu nipo katika mtihani mkubwa Sana dhidi ya hawa wanachuo wangu wa kike
Watoto ni warembo balaa skirt wanazovaa na mikao yao darasani ninapowapigia lecture ni mitego tupu
Wanavaa skirt fupi na kukaa kihasara hasara
Baadhi wameanza mazoea kwangu kuniomba omba hela ya supu na nauli
Jamani nikianza kuwala ni kosa kwani manake wanavyonifanyia uzalendo umenishinda.
 
Kama ni kula hela yako, basi na wewe kula bila huruma kabisa.

Ila usitumie madaraka au nguvu ya Ofisi yako kuwala watoto wa watu. Namaanisha usiwaumize kwa sababu tu hawajakupa papuchi. Kama amefanya vema kwenye mitihani yake, we mpe anachostahili.

Ila angalia, NGOMA ipo Mwl.
 
Wakuu salamu humu
Mwenzenu nipo katika mtihani mkubwa Sana dhidi ya hawa wanachuo wangu wa kike
Watoto ni warembo balaa skirt wanazovaa na mikao yao darasani ninapowapigia lecture ni mitego tupu
Wanavaa skirt fupi na kukaa kihasara hasara
Baadhi wameanza mazoea kwangu kuniomba omba hela ya supu na nauli
Jamani nikianza kuwala ni kosa kwani manake wanavyonifanyia uzalendo umenishinda.
IKIMBIE ZINAA..

1 KOR. 6:18-19
Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe. Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe;

Wako wapi vijana wanaomheshimu Mungu? Vijana wanaofahamu kuwa miili yao ni hekalu la Roho mtakatifu. Vijana wanaoishi maisha matakatifu wakiwa nyumbani, kazini, chuo, kanisani au michezoni, iwe mchana au usiku wao siku zote wanamtukuza Bwana kwa kinywa, moyo na miili yao? Vijana ambao hawakumbwi na wimbi la utandawazi na kumkosea Mungu? Vijana ambao hawabishani kuwa wapi kwenye biblia wameandika usimpe busu la ulimi mchumba wako, na wapi pameandikwa usimshike shike mchumba wako?

Vijana waliotayari kuikimbia zinaa hata kama watatengwa na rafiki zao. Wapo tayari kulishika neno la ushuhuda wao hata kama wataonekana hawapo kamili. Vijana wanaoijua kweli ya neno la Mungu nayo kweli imewaweka huru, sio huru kutenda dhambi bali huru mbali na dhambi. Mungu anatafuta waabuduo halisi wamuabudu katika roho na kweli, sio roho tu bali na kweli ambayo katika Yohana 17:17 biblia inasema hiyo kweli ni neno la Mungu.

Kuokoka sio fasheni, sio kuimba na kucheza madhabahuni, ni kumpokea Yesu kama Bwana na mwokozi wa maisha na kumkataa shetani na mambo yake yote.
 
Watoto wa umri huo wengi wao kimeo kiafya,wengi wao wana mabwana zaidi ya umoja,...waonje lkn kwa tahadhali mno..
 
18221642_1555769717790109_4147106158594951796_n.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom