bahati godfrey
Member
- Feb 7, 2017
- 11
- 26
Habari zenu,
Nilileta uzi uliosema;
https://www.jamiiforums.com/threads/ushauri-mpenzi-wangu-yuko-hati-hati-kuachishwa-kazi.1209502/
Ushauri: Mpenzi wangu yuko hati hati kuachishwa kazi
Mpenzi wangu baada ya kusubiria malipo yake mpaka leo ajalipwa anapigwa kalenda tu, mara ya mwisho ya kwenda kuchukua hela akaambiwa asubirie wiki ijayo ikabidi nichukue maamuzi magumu kukaa kimya yani hapa nilipo sina mawasiliano nae mpaka sasa na sijui anaishije mana mimi nilikuwa nampiga tafu toka mwezi wa 2 mpaka wa 4 mwishoni.
Nimejawa na mawazo maana kumpigia siwezi na kwenda anapoishi siwezi mana nikikumbuka mahusiano ya nyuma alishawahi kuongea usiku na mwanamke kuwa mimi namlazimisha nikikumbuka huu msemo moyo unaniuma na yeye alikuwa anategemea akipokea hela aende kutafuta kazi.
Hivi wadau niko sahihi nilichokifanya na mkumbuke alishanivalisha pete na mahari bado ajamalizia ndo alikuwa asubirie apewe hiyo ela aje amalizie, na isitoshe kumbe hiyo ela amenidanganya anapokea milioni moja na laki 4 na yeye kasema ni laki 9 toka alivyonidanganya sina hamu nae.
Naomba maoni yenu na mnifariji jamani mana moyo wangu umejawa na huzuni.