Mzee Chapuuka
Member
- Apr 21, 2017
- 97
- 243
Salaam wakuu,
Leo nilikuwa na miadi ya kukutana na kimwana wangu maeneo ya ghetto
nilipomaliza mishe zangu nikamcheki hewani.
Akanijibu "Baby nimeteguka mguu tutakutana J3 "nikamjibu "poa" akaendelea "yani hauji kuniona" nikamwambia "nitakuja jioni" akajibu "utaniletea nini'' mimi nimekausha sijamjibu.
Sasa najiuliza mgonjwa gani huyu wa kuomba kuletea kitu.Sasa kuteguka mguu na kuomba zawadi wapi na wapi.
Jamani huu si utapeli wa wazi wazi na hii ni njaa wasichana wa uswazi acheni hizo jamani mbona wenzenu wa mboga Saba sio matonya kiasi hiki.